@officialsaidmbegu: Kigogo Said Lugumi amuonesha Chief Godlove parking ya magari yake! Ni balaa, watu wana mkwanja! #motowntvonline #fypシ゚viral #fyp #fypシ #motowntvonline
moja ya dalili za nyota ya umasikini ni kuwa mtu wakuwasifia wenye mali.
2024-10-27 05:24:21
9
iamnyahawa :
aje afanye massage kwenye SPA yangu jamani 😁😁😁
2024-10-27 04:58:20
8
FAIZ MOHAMED ALI :
Huyu jamaa analindwa na wanajeshi
2024-10-27 05:21:56
7
laurent raider :
huyu mzee kwao ni mwanza wilaya ya magu anahela mpaka sio poa
2024-10-27 05:14:57
13
godlen godfrey :
huyo ndio anatengeneza nguo za jeshi alafu kwao ni magu mwanza🤞👍🇹🇿🇹🇿
2024-10-27 06:11:34
12
Djuma🐐 :
Lugumi sio branch la P Diddy huku Bongo?🤔🤔🤔
2024-10-29 02:37:12
6
𝚂𝙴𝙽𝙸𝙾𝚁 𝙴𝙰𝙶𝙻𝙴⛔ :
Mzee hana baya hajaweka hata plates zenye majina🙌
2024-10-27 11:57:29
8
chiefuthedoni2 :
Huyu mzee atakuwa ni chama kimoja na huyu dogo! kivyovyote vile huyu mzee ni mtu ana pesa chafu! kumwita huyu dogo nyumbani kwake! manaake huyu dogo anajua siri zake, wanajuana wanatoa wapi maisha!
2024-11-01 14:57:18
5
muumusha :
Ina harufu nzur sn
2024-10-29 05:17:24
5
twiga🚔 :
uyo ndo mwenye izo gari za anazotumia chief
2024-10-27 05:15:42
14
Alpha :
Warren Buffett, the chairman of Berkshire Hathaway, drives a 2014 Cadillac XTS. He worths USD 143 Billion.
2024-10-27 07:34:02
7
Mr.plan :
Alfu mchizi ana mkubali
2024-10-27 05:07:48
5
H/REAL ESTATE :
lugumi si ndo kipindi kile cha magufuli,alikua na kesi ya mashine kwenye vituo vya polisi🤣🤣🤣
2024-10-27 07:59:31
7
$$$$$$ :
awa mbwa wanaiba wap ela na mm nikaibe
2024-10-27 05:37:46
9
Roswe Caleb Samburu :
Tatizo, wajinga wengi wanadhani pesa na magari ndiyo maisha.
2024-10-29 04:29:03
4
@Mr_idon't_care18 :
watu wapo kimya tu hawana mda wa kuyanadi magari yao mtu ana Rosy Rolls Royce yake ya kununuwa kwa mtu kutwa kucha anapiga piga kelele tu kwenye majukwaaa
2024-10-27 16:29:05
1
Angelbby🥰 :
hivi ela zote izo waga mnapataga kihalaliiiii ama kuna kanamna
2024-10-29 07:31:01
2
To see more videos from user @officialsaidmbegu, please go to the Tikwm
homepage.