@mcbwire_: Wakwere na Wazaramo nimewanyooshea mikono mpo juu Kwa kweli.

Host la Taifa
Host la Taifa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 October 2024 07:22:38 GMT
325230
6623
369
869

Music

Download

Comments

stellasamson3
Stella sam :
wakwele oyeeeeee like apa kama mkwele og
2024-11-02 08:53:45
139
official_dashyuu
Shyuu :
wazalamo wA kisarwe msanga kihare tujuane🥰🥰
2024-11-07 16:20:05
32
ally.nzelekela
Ally Nzelekela :
Hiyo ngoma uzaramoni ndiyo asili yake. wakwele ngoma yao bigililo.
2024-11-01 18:44:36
24
sharifu_digital_domain
sharifu_digital_domain :
wazaramo wa chalinze bagamoyo lugoba msata gonga like hapa
2024-11-28 09:44:08
38
sikitu.saleh
Sikitu Saleh :
charinze Moja kisarawe Moja bagamoyo Moja kidemvure Moja vikindu Moja twangoma Moja mikwambe Moja kibaha Moja kibada Moja ilala Moja temeke Moja oye
2024-11-01 19:03:33
57
ummymansour20
ummymansour :
wakweree wa chalinzee tujuane ☺️🙌🔥
2024-11-07 15:09:51
23
nururajabu3
nururajabu3 :
ningekuwepo hapo ningechimba htr😅😅😅natamani ninemwe kwa mara ya pili lakni nakumbuka tyr sio msungo wakwele hoyeee☺️☺️☺️☺️
2024-11-01 20:26:36
6
naima02427
Naima024 :
wakwele mpoooo
2024-11-01 16:33:14
9
nasramrisho546
Nasra Mrisho :
jmn najivunia kua mkwereee
2024-11-04 19:16:20
9
fficiakhadija
khadija :
tupo wazaramo 🔥🔥🔥
2024-11-01 12:37:30
6
nour.mohd7
Nour Mohd :
WAZARAMO oyeeeee
2024-11-03 17:07:18
11
maryamhamza500
Maryam Hamza503 :
Wakwereee pambeee🔥🔥🔥
2024-11-01 13:57:52
15
mwajei123
🛍️MWAJEI VIJORA COLLECTION🔥 :
kama wewe mkwele gonga like🥰
2024-11-01 22:06:34
20
user777412847493
jmo :
Hili goma ndo bora kutokea katika hii dunia..piga kelele kwa wazaramo wakeeee
2024-11-02 08:17:58
14
mimah_perfume_point
Mimah_perfume_point :
Twabaha 🥰🥰waukae tujuane
2024-11-02 10:10:32
14
naidanaida196
Naida Naida :
hapa sasa wazaramo kama nawaona
2024-11-01 20:30:15
9
mkali1220
userMkali More :
Rasta ni WAUKAE kabisa aisee... anapita mulemule duuh!!! nipo ofcn ghafla nasikia Wakwele, nimeacha kazi zote🤣🤣🤣
2024-11-01 20:35:22
6
zukrasharifu
🌹Zuu queen 🌹 :
hili goma likipigwa lazima utingishe kichwa mabega na kiwiliwili maana daaah cha ukae nomaaaaa hapana chezea wazaramo na asili yaoooo
2024-11-02 08:44:57
6
user6720961722534
nawthar murshid :
nimepitia comment zote sijaona hat mmoja aliyeandika kilugha zaid ya kusema baho baho 😂
2024-11-02 19:02:34
6
swaumu_kizenga
🦋Baby swau og🦋 :
wakwele oyeee
2024-11-01 14:19:51
5
mchinashivoh
mchina shivoh👀👃👄 :
hili kabila sio la,kuoa kabisa,lbd azaliwe kwao lkn akulie sehem nynge kbsaaaaa na asichezwe zile mila zao.... ila hili kbl sio kbs
2024-11-07 08:48:19
0
user8376215990545
🦋💦Shygirl :
wakwele shangweee🙌
2025-01-15 14:39:30
1
user54422715916240
Mudi mapilau :
bwana wakwele ngoma yao inaitwa bililo iyo ngoma ya wazaramo
2024-11-05 15:39:46
2
salmadah11
salmadah :
mruguru nipo apa
2024-12-03 09:38:39
4
swaumu628
swaumu :
Yani mpaka rahaa nimekumbuka kiwangwa moja 😂😂😂
2024-11-01 16:49:21
2
To see more videos from user @mcbwire_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About