najiunganusha na maombi ya ndoa hii in the name of Jesus
2024-10-28 13:42:09
771
Rachel Ray Le cutie :
nimpate wapi kaka kama huyu niache dhambi😂
2024-10-28 14:05:09
237
ester😍😍 :
Nikikumbuka shemeji yangu aliomba hiv mpaka nyumbani kwakwe alikuwa na chumba kwaajili ya maombi lakini akaja kutembea na mdogo wa mke wake 👐🏻
2024-10-28 17:38:16
80
Willy Julius :
jamaa kaona watu wanavyokufa week mbili baada ya ndoa kawai kwa mungu wake na ikawe kama alivyoomba
2024-10-28 17:16:09
175
faith mwende :
Na mimi naomba mungu nipate mume mwema
2024-10-28 14:48:28
67
Teffilla T :
what a powerful husband lady God has favored you. Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
2024-10-30 16:37:22
6
Aggie :
lolote uombalo omba kwa Jina la Yesu Kristo amin🙏ndoa yenu ibarikiwe kaka
2024-10-28 15:18:01
87
Neyjuly :
Jmn Hawa watu nyie mnawapataga wap🥰
2024-10-28 12:51:55
43
daddysgirl :
thanks God now have decided to get married in Tanzania 😂
2024-10-29 15:42:22
7
Emmamol :
Mpaka nimetamani ndoa ghafula ila MUNGU atajibu nipate mke mwema na mcha Mungu iko sku tu 🤲
2024-10-28 13:05:35
71
merciemercie821 :
niko na mwingine hapa utadhani alioa simu....kazi yake ni kuchat tu
2024-12-02 17:56:35
7
shikoh francis :
mungu nataka kama huyu
2024-11-07 15:31:53
7
jacksonjr10 :
maombi mafupi yaliobeba maana kubwa Hakika Mungu lazima hayasikie haya na hizi ndizo ndoa tunatamani kuziona eeh mwenyez Mungu unikumbuke na mimi🙏
2024-10-28 16:57:24
8
fei :
nyie Kuna watu bila MUNGU hawatoboi,nahuyo MUNGU kampa kweli kweli
2024-10-28 14:21:46
5
HA🩵LI🩵MA🩵 MAMA'S BOY🩵 :
MUNGU akatende hivyo mubarikiwe sana
2024-10-28 13:33:46
5
flodhaBstore❤️🩹💔 :
Amina!!!! ndoa yenu imebarikiwa!
2024-10-28 12:44:09
20
mula :
cette grâce me localiser
2024-10-28 15:10:27
7
bahatisophie :
Amen Amen Amen
2024-10-31 16:44:49
1
Dorcuz.C💞 :
Blessings in your Marriage. 🙏Thank you for Making me believe that Good and GodLoving men who Love back still exist😭🥺🥺🙏May you Stand by your words and your prayers will surely yield. Amen! 🙏
2025-01-14 13:27:29
2
chegeee :
kabisa
2024-11-11 05:30:39
1
1988fille :
amen
2024-10-28 14:41:50
1
Rebekitsa :
naomba mungu anisaidie nipate kama uyu mume
2025-01-23 17:10:17
1
Mcnjau_events :
Ameeen
2024-11-18 11:17:46
1
Makimaro 07 :
Atukuzwe Mungu juu mbinguni.
limebarikiwa tumbo lililokubeba, mikono iliyokulea,waalimu waliokufundisha...
Mungu azidi kuwatangulia.
2024-12-12 17:20:07
2
To see more videos from user @mtafutaji255, please go to the Tikwm
homepage.