@emmanuelbosirer: Ni wimbo ambao umebeba ujumbe kwa pamoja katika usiku kuu na wimbo huo waweza mtia matumaini mwanadamu anapoangukaaa ni wimbo mtamu waweza fungua minyororo kwa walio fungwa awali waweza kuwa na hakika kupitia wimbo njia yako ya kupitia Chorus Nitauimba wimbo huu wimbo ulio wa kusifu roho nzito ya huzuni iwe huru ntaendelea kwa sifa iliyobeba siri kwamba kwa yesu kuna uhuru nitazisima sauti zinazovuta watu kwa shimo La kukata tamaa kwa wimbo mtamu wa furaha anakuja upesi kwa ajili yangu nawe@Gaither Music