Tanzania is on the top 5 richest countries uongozi tuu ndio tatizo ila ipo siku mungu atatuona tusichoke ndugu zangu
2024-11-01 12:54:50
22
I AM AFRAID OF GIRLS :
Aliyetoa wazo la samia Express matako ya mama ake
2024-11-01 16:40:25
14
mr_bike :
Samia express, reallly??? Magufuli’s GOD please can you see this. They even not feel shame any more
2024-11-01 16:22:49
10
user5111241352461 :
nice Video, kwenye Seat hazifanani na jina la Royal Class, labda kuzunguka, nadhan viti vyote vingekuwa na TV,pia reclining. otherwise naona seat zinaitaji kuboreshwa
2024-11-01 10:17:32
4
Xide khan :
ety samia express 😅😅
2024-11-01 15:08:14
4
Maweng :
hii nayo imeweza.Tanzania hongera from Kenya with love🔥🔥🔥💯💯💯💯
2024-11-02 03:16:35
4
longututi_Tajiri🇰🇪.. :
hii Jina imeandikwa Samia Xpress bure kabisa 🤮🤮🤢 hii ndoto ni ya magufuli msinyifanye tumesahau 😥😥
2024-11-02 11:41:08
3
Salim juma mdng🇹🇿 :
ما شاء الله
2024-11-01 16:36:09
3
I am Geofrey ✌️ :
sorry hiyo camera inaitwaje, how much it cost
2024-11-01 08:43:00
2
𝐉 𝐄 𝐅 𝐅 🔱👑🏆 :
Rizwan kumbe hizo Camera ziko vizuri namba hiyo
2024-11-02 07:44:54
2
Mr Sokwe :
hizi siti hapana, haifanani kuwa Royal Class... wabadilishe siti
2024-11-01 13:23:57
2
mogravich Simeon 🪖🪓 :
❤️❤️🇹🇿🇹🇿🤟🤟
2024-11-01 17:42:30
1
Sammo :
Noma tz
2024-11-01 17:47:55
1
Simbaa Jr :
train za Magu huyu bibi anaziandika Majina yake😏 chefuu
2024-11-02 10:10:08
1
Emma kessy :
😳😁
2024-11-01 21:12:24
1
@mani :
🥰🥰🥰
2024-11-01 17:13:47
1
Mr. Miyagi :
Hawa officers wanaofanya inspection and kuhakikisha usalama should be in uniforms as well.
2024-11-01 16:45:39
1
Ahmed :
🥰🥰
2024-11-02 10:00:04
0
SJ :
Wakenya mpoooo😁😁😂😂
2024-11-02 11:11:34
0
The504💦 :
Kenya ipo wapi ya kwenu
2024-11-03 06:23:14
0
EMMANUEL POUL :
pya iboleshwe viti viwe na tv zake nameza itakuwa powa sana😁
BADA YA MIAKA KADHAA HIVO VITU VYOTE HAVITAMANIKI KAMA YALIVO KUWA MABASI YA MWENDO KASI
2024-12-19 09:04:44
0
Amani :
Naumia ilo jina Atuoni ahibu
2024-12-19 20:46:20
0
nasreemjay :
bc watanzania miez mitatu tu viti vitakuwa vyeusi htr
2024-11-02 09:38:27
0
kingkunta :
Tatizo la jirani ana tamba sana na kingereza na curency yao iko juu je hivyo vyote vimewasaidia nini
2024-11-02 08:15:30
0
kingkunta :
Majirani mpo
2024-11-02 08:14:06
0
kingkunta :
Kama ulaya tu
2024-11-02 08:13:42
0
SM...Xy :
kenyans typing and deleting....😂😂
2024-11-02 08:08:51
0
Nyalii :
How much is the DJI Pocket 3 camera in Tz?
2024-11-02 08:01:03
0
mzungupori :
uchafu tu
2024-11-02 07:39:31
0
Genius Alpha Male :
as a proud tanzanian, i’m disappointed with royal class seats.no creativity, outdated and not modern at all. authorities need to fix this ASAP before it's too late.
2024-11-02 05:38:32
0
elly J :
wazuie watu wasiingie na viatu,,wataichafua hii..alisikika mlev mmoja akisema
2024-11-02 04:50:58
0
Eng. Mkango S. :
Hongereni sana kwa kulifanikisha hili
2024-11-01 22:09:22
0
Kidumo :
yessss.....
2024-11-01 20:58:52
0
mr_misifa :
@Icon Ramar naumia🥺
2024-11-01 20:18:22
0
Kidumo :
It's like Europe Tanzania 🇹🇿
2024-11-01 20:13:15
0
#wårïøß@ :
kenya😂😂😂
2024-11-01 19:05:06
0
To see more videos from user @rizwanmhosman_, please go to the Tikwm
homepage.