@hdlyrics001: @Aslam Tz - Tukutane mwakani #aslam #aslamtz #tukutanemwakani #bongofleva #trendingsong #fyp #lyrics_songs #hdlyrics001 #kenyantiktok #tanzaniatiktok #ugandanstiktok

Mishael's lyrics
Mishael's lyrics
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 01 November 2024 09:27:37 GMT
2022210
104165
534
6398

Music

Download

Comments

nassor_7
Nassor_23 :
Nimeota mwakani naacha nyeto 🥺🥺🥺
2024-11-01 18:20:29
51
kim.happy3
Kim happy💕 :
sii ndo matajiri wa mwakaniiii
2024-11-01 16:34:56
34
munatz1
sarasara :
apo Kwa kuota mpenz Wa kudum Nae Ni ndoto YA mchna hire hio nyumba Inshalla 🤲🤲
2024-11-01 23:05:09
23
milgirl01
milgirl01 :
Mwaka wa kuforce umeisha sasa😂😂tumeanza plan za mwkani😂🙌
2024-11-03 15:27:12
21
jj96187
JJ96@$☑️ :
msituchoshe bana na nyimbo zenu hiz mwaka umeanza oooh nitakuwa boss mara ooh nitajenga kibanda ona unaisha bila kupata chcht 😂😂😂😂
2024-11-02 18:45:20
13
mamaboys0022
mamaboys 🧒°*2🌹 :
Watanzania washaroga 2025
2024-11-04 04:21:08
9
mattirichi
Matti :
Tumeshindwa kuforce, sasa tumeanza kuota... 😂🤣
2024-11-03 05:59:44
20
annanniea19
Annyie 🦂 :
😂😂😂that's the goal lakini hapo Kwa mapenzi ,😩😩
2024-11-04 09:59:08
5
frankphilibert10
BIIRY♐ :
umetisha sana mwakani
2024-11-04 10:56:59
5
noeh..0694425027
noeh✨️✝️ :
kam una amin mwakan liwalo n liwe ww n tajiri gonga like apa❤️
2024-11-02 05:30:24
30
fausta1112
Fausta❣️ :
ndoto njema kabisa hii endelea kulala itimie
2024-11-02 19:05:25
8
nankovannytz
Itsvevo nation brand :
mungu atatujaria wote 2nao omba kutoboa mwakan
2024-11-02 08:39:24
11
afroheal
AfroHeal :
Tabia ya kukimbilia kwenye comment wakati mwili wako unamafuta na takataka si uje upate Afrocurrent
2024-11-04 08:22:19
9
user8784315279727
mudy zombier :
inaitwaje i ngoma
2024-11-02 04:22:35
7
saadiya128
saadiya :
rudi kitandani umalize ndoto wakenya hatutaki ujingq rais wetu twamjua wenyewe😂😂😂so hatu hatupangwingwi🤣🤣
2024-11-07 04:47:02
7
matriarchy2026
Matriarchy254 :
maneno haya si mageni kwa wakaaji wa mjini ila yaweza kuwa mageni kwa mgeni mjini
2024-11-03 01:39:14
6
cutemillah2
cutemillah :
jirani yangu ananikumbushia na wimbo wa vanny boy kila na leo😂😂😂😂Sasa huu nao hata sijishirikishi😂😂😂Acha Mungu aniamulie😂
2024-11-03 01:02:09
5
emmy.killeo
Emmy Killeo :
huyu wa sasa anajua kweli😳🤔
2024-11-02 16:15:03
6
tunechi_kicks
@tunechi_kicks_ke :
walianza na huu mwaka ni wa kuitwa bosi saii ni ndoto ya mwakani😂
2024-11-03 04:38:12
5
momhayyam
mom hayyam :
ntakuja kujib mwakan mwez kama huuu ndoto niliota kwelii au nikakojoe nilale tenaa😂😂😂😂
2024-11-02 00:33:54
6
mmerumfine
mmerumfine 💘🍃💝 :
name of the song p🥰🥰🥰
2024-11-03 17:29:44
8
user61690479135183
mwajux :
Rayvanny asiione hii😂😂😂
2024-11-10 12:34:31
11
milango.ya.chuma.ya.kisa
milango.ya.chuma.ya.kisasa🚪 :
tunasubiri rayvanny atoe remix maan
2024-11-02 00:07:44
20
adamson013
𝐴𝑑𝑎𝑚𝑠𝑜𝑛 :
title ya song
2024-11-03 15:45:35
5
misstee852
𝐓𝐞𝐞🎀 :
😂😂😂dah kumbe ayo mambo yote ya mwakan ni ndoto dah
2024-11-01 18:46:50
7
To see more videos from user @hdlyrics001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About