@mt_rita_wa_kashia: NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA MASAA 15 #kwayakatoliki #godpelmusic #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #ritawakashia #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #makuburi #catholictiktok #radiomaria #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania #tanzaniatiktok #ugandatiktokers #tanzaniatiktok #fyp #trending #katoliki
mt_rita_wa_kashia
Region: TZ
Sunday 03 November 2024 18:17:57 GMT
Music
Download
Comments
NICETHER GASPAR :
unaomba bila kukatiza masaa kumi na matano,,sali kwa Imani hii novena Mimi imenifanyia makubwa
2024-12-07 18:29:05
18
castronjovu :
Mt Rita uwaombee ndugu zangu yustas njovu na Methew mng'etu wapate kazi
2024-11-04 16:07:39
14
Joyce kirwa :
niliomba hii Kwa kweli mungu anajibu
2024-11-04 02:03:07
12
Sarah Presious Cancer Surviver :
Mung nisadie nipone kansa
2024-11-04 01:43:22
7
Phina :
Watu wa mungu Novena ya Mt rita inajibu na inasaidia ukiomba kwaimani
2025-01-14 19:58:31
6
ms- Gee :
nnamushukuru Mungu kupitia novena hii nmepata uhamisho wa chuo🙏
2024-11-08 10:25:03
6
EMINEY GADGETS :
Naomb kuuliza ni kila lisaa unasali
2024-12-01 20:02:23
5
okarithi 🥰 :
eeh mtakatifu Rita wa Kashia Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya altare ya mungu huko mbinguni🙏🙏
2024-11-04 11:11:04
5
saraphine :
mtu akiomba hii novena anakuanga fasting?kuriza tu please someone tell me
2024-11-12 15:55:24
4
firstborn lizzy :
hivi hii inapendeza uanze kusali sa ngapi
2024-11-04 05:38:07
3
user88234258312951 :
Amen, naomba Kwa ajili ya harusi yangu, Mungu naomba unifungulie njia baba.
2024-12-01 16:13:45
3
B-THE-RYU :
tuombe siku ngapi
2024-11-04 05:02:48
2
ireentemu :
ee mwenyez mungu nakuomba umponye mama yangu apone
2024-12-02 10:06:44
2
castronjovu :
namuomba aniombee nifanikiwe kiuchumi niweze kujenga nyumba
2024-11-04 16:06:52
2
veronicasimon43 :
kwakweli namushuru mungu kuwa. mkatoliki
2024-11-25 18:10:00
2
sesy mhk,,🥰🤩😍 :
hii novena ya saa 15 unasali without kupumzika .kukatisha masaaa au
2024-12-04 22:18:12
2
sophy Edwin :
Novena ya siku tisa unasali saa lolote mpk siku tisa zitakapoisha au unateuwa saa moja??
2024-11-14 20:40:44
2
Kathy :
Naomba utusaidie na novena yote tangia sala ya mwanzo hadi mwisho tafadhali
2024-11-14 16:15:51
2
rehemaamri :
naomba masaa mawili au matatu nasahau naomba mungu anisimamie kesho
2024-11-06 23:07:29
2
candyz84 :
Amen. kindly give us in English version.
2024-11-18 13:31:06
1
Lucy🌹 :
novena ya kumbukumbu
2026-03-06 08:22:52
1
youngfather06 :
nitumie kitabu kwa njia ya wasap nilsafir na ninahitaji kusali
2024-12-26 17:30:01
1
gamso26 :
tumsifu yesu kirstu. mm nina shida tatu kubwa sana je nauliza naweza kuzitaja zote tatu au nianze na moja moja?
2024-12-11 16:41:45
1
paulinekarambu916 :
Amen and amen 🙏🙏
2024-12-01 04:58:21
1
mercy Nicholas :
amen
2024-11-03 18:33:18
1
To see more videos from user @mt_rita_wa_kashia, please go to the Tikwm
homepage.