@fursa_with_marie: Ufadhili wa kusoma #mastersdegree kwenye vyuo na nchi zaidi ya moja Ulaya kupitia #erasmusmundusscholarship/ A #fullyfunded joint masters through #erasmusmundus #scholarship #tiktoktanzania #daressalaam #zanzibar #fursa #fyp #vijana #fypシ゚ #levelup #youths #skills #tiktokkenya

fursa_with_marie
fursa_with_marie
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 November 2024 18:09:47 GMT
14038
481
33
213

Music

Download

Comments

davidsironga
David sironga :
natamani nisome Master hii , nifanyeje ?,nina bachelor of science in chemistry and biology,nitapataje msaada huu
2024-11-05 15:45:33
0
fsamo123
Fsamo :
Interesting, how to apply?
2024-11-05 19:36:39
0
callieivy4
It’s_Naomy :
Je kuna scholarship za undergraduate za medicine kwa mtu aliye maliza diploma??
2024-11-05 07:06:26
0
user50302740617086
Pierre_investment :
Dada angu naomba msaada wako
2024-11-04 18:21:52
0
desi00696
Desi❤️ :
habari unafahamu karimjee foundation ani hii scholarship
2024-11-04 18:36:32
0
i.fanie
Fanie 💕 :
Asante sana 🙏
2024-11-05 13:35:50
1
innosakejoraphael
innosakejoraphael :
vigezo na mashar kuzingatiwa😁
2024-11-04 20:52:09
1
church_girl01
Neema_Maki :
wow soon ntaapply
2024-11-04 20:04:36
1
5barryson
Sam :
io mitihan naipataj
2024-11-27 13:56:16
0
user3767350217180
Mwita :
mimi nina diploma ila nataka kusoma degree,ninechoka kukaa Tanzania
2024-11-17 11:44:18
0
kingmondtv
❤️liverpool fan2️⃣5️⃣5️⃣🤍🐓 :
hivi dada je kuna uwezekano wa kusoma huko nje zen ukaamua ubaki hukohuko ufanyie kazi ulichokisomea
2024-11-16 07:38:32
0
sodarobert
soda thobias :
naomba namba yako ya simu nipo interested. au mawasiliano yako yoyote. asante
2024-11-07 04:24:18
0
vidahnjoka69
Vidah Njoka official :
plz dada.. naomba msaada nahitaji masters ya uongozi ktk elimu
2024-11-05 07:13:50
0
dicksonelly
DICKSON ELLY :
haujibu text inbox
2024-11-04 20:45:58
0
noelawilfredkimasso
Noela Wilfred Kimasso :
😂
2024-11-28 18:16:17
0
bizzle_552
bizzle :
🥰🥰🤗👍👍
2024-11-09 04:00:02
0
talk2nana6
navop6 :
🥰🥰🥰
2024-11-05 17:20:26
0
5607prince
Marwa Jr :
ni fursa juu ya fursa nimekuchek kule Dm Instagram dada Marie
2024-11-05 03:56:58
2
To see more videos from user @fursa_with_marie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About