pamoja na nyakati ngumu unazonipitisha usisahau nilishakuahidi kukupenda najua kuna wakati nakosea na kukwaza hasira yako inawaka vibaya juu yangu lakini nisichoweza kupinga mimi ukweli nakupenda naomba uwe mpole kwangu unilee na kunitunza moyoni mwako hisia zangu ni zako sitakukwaza kila siku naamini kwamba nakupenda
2026-07-25 18:24:04
0
muu1986 :
mungu nipe wakunambia ivyo ๐ญ
2025-12-20 20:28:45
2
Editha Jacob :
mpnz wangu Mungu akulinde maneno hayo umekua ukiambia sana Kila mara Mungu akulinde popote utakapo kuwa
2026-07-13 12:49:46
0
My sweetpie๐โค๏ธโค๏ธโค๏ธ :
Nifanyie moja my blood kwa jil Chi momy nampenda Xana mama ake me๐ฅฐ
2025-02-21 14:53:05
2
userlizzy..love..๐๐ :
nifanyie moja plsee ya my mom nampenda san mamaa yang