@dailynewsdigital: SINGIDA - Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (TAWA) imelazimika kutumia ndege zisizo na rubani (drone) na teknolojia zinngine kuwadhibiti na kuwarejesha tembo waliokuwa wamevamia kijiji cha Mkiwa kilichopo Ikungi mkoani Singida. Picha na @tawa_tanzania Una maoni, tuandikie #HabarileoUPDATES

Daily News Digital
Daily News Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 05 November 2024 11:00:24 GMT
63769
722
17
75

Music

Download

Comments

emanuelolenjema
emanuelolenjema :
hamna mguu sawa 😳 kuna kundi sawa au gwaride sawa
2024-11-06 09:26:27
1
wakishumena4
wakishumena :
Hawa tawa wanachagua sehemu za kwenda?wilaya ya mkinga tanga tuna mwaka wa pili sasa tembo wamemaliza mazao yetu,mkonge wamemaliza mashamba yote.
2024-11-05 18:47:40
1
tiger8822fighter
Tiger Fighter :
Tupeni nasisi ajira maana tume fanya mafunzo lakn ajira hatuna
2024-11-06 08:03:49
2
nicolobarealla23
ally14 :
mananga kibao mmepiga wapi kozi na hamkuivaaa
2024-11-27 13:21:43
0
user1937671406251
user1937671406251 :
hamna askari hapo,,,hamnaga mguu xawa mjombaa
2024-11-07 06:47:31
0
user9786391085171
[email protected] :
Askari mrembo tena jamani
2024-11-06 08:39:03
0
khanifajumapili
Manyanda Jr. :
hakuna askar mrembo bro
2024-11-06 16:46:59
0
changer.boy3
changer boy🌌 :
🤣🤣🤣🤣
2024-11-07 09:05:10
0
kasalambandimile79
kasalambandimile :
nawenyewe wamepigwa faini haowanyama kwakuhalibu mazao
2024-11-07 18:59:37
0
dr.hinju.mnyassa
Dr Hinju mnyassa :
muwavune kidogo
2024-11-13 03:39:33
0
uzuriwamamatumeuona
uzuri wa mama tumeuona :
🥰🥰🥰kazi iendelee
2024-12-02 20:48:30
0
To see more videos from user @dailynewsdigital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About