nimeweka sh 10000 nimekula mpaka 95000 baadae nikabeti sh 85000 fyuuuuuuuuuuuuu nimezimia
2024-11-05 15:24:12
172
Mwenda Eric456 :
ni mimi peke yangu sijawai cheza aviator ama😂😂
2024-11-06 20:35:54
108
Lucy 🌿❤️ :
badilisha shuka inatosha jamani 🤣
2024-11-05 18:58:31
26
White Angel :
I won 524 k nikacheza ati nifike 1m saii nikona depression ati I wish I knew🥺,,,,true story man,,,,it destroyed my life,,,lost my job and respect of my family
2025-02-10 16:47:46
5
sarah :
😂🤣😂😂😂 bint sayuni badilika
2025-06-06 08:53:32
6
Toto lao 🇺🇸 :
45k yangu ilienda ivo jana 🥺🥺🥺
2024-11-06 14:07:49
86
Witness Mbwambo :
hilo shuka hapo shingoni inatossha jaman huuuu
2024-11-07 14:07:16
9
enockprincebihaga :
Aisee kama hujawahi usijaribu. Mara100 ubet mechi aisee, yaani sijui niwaambije. nimeapa namimi Aviator sirudii na Mungu anisaidie 😅😅
2024-11-07 05:26:20
39
swahili_kid123 :
ulisha cheza aviator ikatembea adi odd 50... ukasema mpaka ifike odd 100... mara paaa unaskia vyuuuuuu.....🤣🤣😂😅🤣😂😅🤣🤣🤣🤣.... inauma
2024-11-05 21:02:02
35
Gman Westie :
wangapi wanasoma comment 💀
2024-11-08 17:01:59
11
iam _Ozawa :
×1.05 vuuuuuuuu
2024-11-06 09:39:31
14
nyar kabondo🥰 :
sijui ni mm nilirogwa siwezi pata from 500 to 33k to 0 again am in severe pain 😭😭nimetumia Hadi savings zote za mwaka my accnt balance is 0 na tuko Dec Hadi nilivunja home bank ya bwana nitauwawa
2024-11-09 16:40:40
8
Grace Kitili :
alafu kuna game mania iliningeuza zombie
2024-11-09 16:51:34
7
hamza fans08 :
daah! hapo umenigusa mwanang jana nmetoka kuliwa lak 2 daah! inatosha kwa kwel.😩
2024-11-06 03:57:35
11
Baby girl💕💕 :
hata Mimi kwakweli inatoshaaaa🙌🙌🙌nakuunga mkono
2024-11-22 15:53:18
6
official_seen😎 :
bado ujasema😂😂🚀🚀
2024-11-05 18:58:00
7
prissy :
aàah me natibuka nifundisheni bc ndo nn mana Kila mtu ana comment anatamani asingejuw me nataka kujuwa
2024-11-24 08:53:36
5
Nicky Jonathan :
nimeshituka aviator ni wezi manake we angalia watu wapale chini wanaocheza ni wale Wale kila siku sasa wewe jichnganye😂😂😂
2024-11-06 04:30:35
22
mary :
tumefikiwa wa kupaisha kindege😂
2024-11-05 14:11:15
5
Manuu🇾🇪🇾🇪 مانوو :
kak predictor ninayo mim lakin ya bet paw naml nishanunua iPhone 13 mim
2024-11-05 17:45:02
8
mamake jj 254🇰🇪🥰🥰 :
nimeshukuru jana niliweka 500 nikapata 87k na nikasema nikazi ya God
2024-11-07 09:00:06
6
suprabennar :
mim niko hapa sina ata nguvu yakushuka kitandani 😭💔😭
2024-11-08 08:17:40
7
Mum KK :
🤣🤣🤣🤣🤣 inatosha jamani aaah!20k yangu ikaenda hivo tu
2024-11-07 08:34:24
8
To see more videos from user @mwala_comed, please go to the Tikwm
homepage.