@avopatips: Kuna vitu havihitaji uoga. #avopa #elimu #maarifa #jifunze #tiktoktanzania🇹🇿 #motivation #tiktokkenya🇰🇪 #CapCut #tiktok #avopatip

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 06 November 2024 07:26:02 GMT
283650
17203
153
1678

Music

Download

Comments

us255752981931
BM 31 :
Naomba mdada mmoja jasiri ajitokeze anitongoze nione kama naweza kukataa 😅😅
2024-11-06 21:03:44
14
user747606191095
Robbydm21@ :
hahahaha huyu hajui uchungu wa kukatariwa....mm bora niachwe kuliko kukataliwa
2024-12-20 05:23:54
4
mwanahamisijuma7
amara❣️❣️❣️❣️🫀🫀 :
natafuta wakunielewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-10 11:00:59
0
abdillah.wolf26
abdillah wolf :
Mdomo huponzaa mwilii😂😂
2024-11-08 14:54:41
19
asrambasnjr
BASNJR :
safisana ngoja nisubiri mdada atakeye like Apa nimchane makavu sas😅
2024-11-09 09:29:41
3
liyokaicon
liyokaicon :
yani namaliza kuangalia hii clip na ninaempenda ndiyo anapita duuh nikashtuka
2024-11-12 06:54:16
16
stevewalker.1
STEVE⚽⭐ :
ngoja niende kujaribu nikirudi ntawaambia imekuaje😂😂😂
2024-11-08 15:23:47
7
user49863061761047
mesh@ck :
umekosa chabkufundush au
2024-11-09 13:36:58
2
jordanlusajo
lusajo jordan :
Hizi ni motivation 🤣😂😂
2024-12-14 10:17:41
0
user5956761454874
Another step..CHUMA.. OFFICIAL :
nimekuja Kugundua Uwoga wa Kufanya mahusiano Bila Kuogopa Zinaa Ni Kitu cha kawaida sana,Pastor alichoshindwa Kuelewa Man anakuwa muoga kwa aliempenda
2024-11-08 15:55:02
3
user8025661702571
Fire ston ☄🔥 :
nikimaliza hapa namtokea mdad bilakujal au vp
2024-11-21 19:59:23
3
mahimbotz
MahimboJr :
Ukijiuliza Mungu yuko wapi wakati una pitia magumu, usisahau kuwa wakati unafanya mtihani kulikua na Mwalimu huku amekaa kimya!
2024-12-06 05:11:12
3
light.johnz
light Johnz :
true, woga ni downfall ya watu wengi duniani
2024-11-27 12:15:31
3
nsuriicompany
user3535385912441 :
Asante mtumishi kwa Kuwapa Code😆😆😆
2024-11-20 11:41:50
8
piuschaula570
Pius Chaula :
true dhat
2024-11-07 18:10:04
8
red209409
@Red 🩸 :
kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.
2024-11-10 15:43:13
6
bensonlwila
benson lwila :
pamoja
2024-11-26 06:34:15
3
mr_everything_93
mr_Everything :
uwoga ni kitu kibaya
2024-11-29 18:20:24
2
user113009348708
prosper Thomas :
mungu nisamehe
2024-11-13 15:00:22
2
sam.ernest3
Sam Ernest :
napitanalo hilo
2025-01-14 17:11:59
0
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About