angekuwa mzungu kafanya ivy mngemsapoti ila mtanzania mwenzenu kafanya mnaanz kusema hata aipendezi embu tanzania pendaneni jmn kah
2024-11-06 20:18:27
66
pipi stanley😍🧍♀️ :
sijapenda alafu vitu vigine avichekeshi😏
2024-11-06 19:29:53
134
user21984300330633 :
sasa haya mambo yamezidi tunatakiwa kukemea viongozi sio kuchekea
2024-11-06 13:50:14
80
Abilius :
ahahahaa bongo sio pakuhama
2024-11-06 10:09:07
7
Tynah :
Nataka kujua nauli yake huyo ni hyo hyo 750 au???Maana ni kama haichekeshi wala haipendezi😏😏
2024-11-06 19:29:38
17
Madam❤️ :
ujinga mtupu mnawasumbua watu aechoka na mihangaiko mnawarecord nini mnawabana kwani lazim iwe humo kwenye gari!? viongozi liangalieni hilo watu wanafanya mambo wanavotaka si sawa me ukikirecord vunja
2024-11-07 08:08:24
8
Ruuh momo :
ivi kwann nawaacha wanafanya ujinga kwenye mabas hawa
2024-11-06 17:06:02
8
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Tafuta content ingine na sio hii unafanya .
2024-11-07 04:15:57
6
hammy mweusi :
yan nyie mpende msipende mnavyo zidi kucoment mwenzio ndo anazid kuongeza hela sa apo ndo utajua ww na yy nan mjinga
2024-11-08 01:03:45
1
yurisongoro :
😂😂😂 Sasa hapo ungeongezea ukawa unaimba taarabu yako mwenyewe mambo yangekua safi kabisa
2024-11-07 07:33:58
1
Da'lizzy ❤️🧚 :
simu za 650 woiiiii 🤣
2024-11-06 17:41:33
2
anniecute2 :
afya ya akili sasaivi limekuwa ni tatizo kubwa
2024-11-06 20:01:11
3
user27581296988861 :
akili amna sasa
2024-11-06 14:35:34
3
swtymamie :
Haichekeshi kwa kweli serikali ebu ingilieni kati huu ujinga.
2024-11-07 05:28:05
2
KIDOTT MEDIA :
kwa hapa hapana jmn fanyeni huko mtaani sio kwenye gari za serikalini
2024-11-06 18:07:08
2
Salmacolection :
𝚗𝚒𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚖𝚋𝚊𝚔𝚊 𝚠𝚊𝚗abowa
2024-11-06 16:15:02
2
To see more videos from user @bitumbi.official, please go to the Tikwm
homepage.