@epicnewske: Gavana wetu wa Mombasa kaunti ushuru unaokota vizuri lakini maendeleo hakuna. #epicnewske #mombasa #fyp #mombasatiktokers #mombasatiktokers🏝 #nairobitiktokers #viral #bungelachangamwe #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #kenya

epic news
epic news
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 07 November 2024 16:27:17 GMT
5365
182
60
18

Music

Download

Comments

omarrajab771
[email protected] :
10 years gvn sn
2024-11-10 09:11:38
0
rizwayne_tmb
rizwayne_tmb :
gavana wetu ww na nani🤣🤣🤣🤣 rudi bara kwenu uko ulilie haki yko uko
2024-11-08 04:16:21
9
weynak_0932
weynak :
rudi kwenu bara upeleke degree zako huko uajiriwe mbuzi wewe mombasa ina wenyewe sio watu ambao hawajatairiwa
2024-11-08 15:01:03
1
northsea99
N.nms :
endea maendeleo kogelo na Siaya Iko mingi huko
2024-11-07 18:52:53
2
masterautospare
Arab_Money :
oyaa huyu jamaa fala Sana.Sisi tumekanyagiwa kila mahali hapa hapa kwetu ,isitoshe sisi huko kwenu hatujikupigania makazi cos tunajua si kwetu na tumewaachia.Hapa ndio munakuja kuleta mdomo.
2024-11-08 07:38:50
0
abu4117
boss playa :
yani nyinyi mutoke bara muje muandikwe kazi,munataka watu wa coast waandikwe wapi?
2024-11-08 04:43:17
1
donkhalifa001
The Don khalifa Mr 🌍 wide🌟🔥 :
Munasema hio ni Bunge sio my friend Tunawacheki tu..
2024-11-10 12:32:01
0
naseem_ha1
smart lady :
nyinyi agalieni yakwenu munashida gani nyinyi
2024-11-08 04:17:45
3
otienktz0kg
sparrow :
sonko anakuja
2024-11-08 03:44:04
3
user9572556606769
mboma :
we wataka Maendeleo gani Mombasa kwa mfano tu
2024-11-10 11:34:35
1
mngindoaisha
mngindo :
wacha kugusa mombasa
2024-11-08 10:13:50
1
abuubasra02
Al Habib :
shida tupu
2024-11-08 07:47:53
1
genovevashitsama
GENOVEVA SHITSAMA :
boss playa,..Saande sana ,wakati wakituomba kura hasmemi nendeni Bara wala nyinyi wachristu wakipata viti lugha rudini bara.SONKO ATAPIGIWA KURA
2024-11-08 07:02:19
1
maxmody380
Max Mody380 :
Brother kenya ni kubwa hio degree zako kajaribu huko kwenu waweza bahatika
2024-11-08 06:56:40
1
noorkey88ajuraan
noorkey :
mumezoea sisi ni maunga nyinyi ni wasomi kwa taarifa yenu sahi wato wamesoma wewe hujui kuaply unjifanya msomi msilete fitina
2024-11-08 06:08:12
1
tariq.sk02
Tariq.sk :
wewe hapa Mombasa sio kwenu, acha ujinga
2024-11-08 05:20:18
1
boss.mwinyi
boss mwinyi :
uko na degree na haukupata kazi kulu business mpuzi mmoja wewe
2024-11-08 04:27:35
1
subira328
user3640147756830 :
myinyi wabara mlioko pwani ndo mmko na shida kila siku ni kupiga kelele
2024-11-08 03:47:03
1
abuameera001
TAJIRI❤️‍🔥001 :
afadhali joho mara million
2024-11-14 20:30:24
0
philipmwambura7
Philip Mwambura :
haiendi tru
2024-11-13 11:23:09
0
user4093712613615
user4093712613615 :
kwenda zako
2024-11-11 12:21:25
0
ayiz.a165
unique🥀Thuma :
sema kweli
2024-11-10 15:31:02
0
lavichu.nare
Narsis Mkirema :
hakuna chochote amefanya..afadhali yule alikua akituletea wasanii🤣🤣🤣
2024-11-10 09:53:20
0
userbossdulla
user boss dulla :
tafuta kazii sote tukililia kazi ilikuweje jinga hii
2024-11-10 04:01:50
0
nurusaid555
Dreams :
Governor 10 years Mombasa ni Abdulswamad Zoea ama usonge mbele.
2024-11-09 16:18:35
0
To see more videos from user @epicnewske, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About