@mwenge.sda.church: Kwaya ya Acacia Singers @acasia_singers_tz kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge #daressalaam #Tanzania wakiimba #live katika ✨ Alhamisi ya Uimbaji: The Sound of Jubilee (Sauti za Jubilei) 1 Samweli 7:12 Uimbaji huu ni sehemu ya Ufunguzi wa Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 20 ya huduma ya kwaya ya Acacia Singers. ⏱️ Muda: Saa 11: 00 Jioni - Saa 02:00 Usiku 📍 Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mwenge Tunawakaribisha waumini wote, ndugu, na marafiki kuungana nasi kwa sherehe hizi maalum za kutangaza neema na uaminifu wa Mungu katika huduma ya uimbaji kwa miaka 20. Kwaya zinazohudumu: 1. Acacia Singers 2. Remnant Generation @remnant_generation_singerstz 3. Mwenge Adventist Choir @mwengeadventistchoir Kwaya alikwa: 1. Kinondoni SDA Choir @kinondonisdachoir 2. The Golden Gate Choir - Uganda Waimbaji Binafsi: 1. Asha Majura @ashamajura 2. Anitha Binagi @anitha_binagi_official Njoo ubarikiwe na uinuliwe kupitia muziki wa ibada tunapomshukuru Mungu kwa kutuongoza na kutulinda. Usikose pia kutungana nasi #live kupitia, #YouTube #FacebookPage na #instagram kwa jina la "Mwenge SDA Church" #mwengesdachurch #acaciasingers #sautizajubilei #soundofjubilee