@mtembezi_tnz: Darasa la bure Faida kwa sote🙌🏾. #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokburundi🇧🇮 #toyota #nissan #subaru #tanzaniatiktok #advice #ndoa #mahusiano #wasafi #drtoyota #arusha #kilimanjarodancechallenge #daressalaam #dodoma #comment #carlover

MTEMBEZI🇹🇿
MTEMBEZI🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 07 November 2024 20:13:51 GMT
20399
727
127
17

Music

Download

Comments

user4746976065438
danny boxer (UN) :
mtembez licha ya gari yako ya ofisi na wewe tuambie una gari gani jmn! me natumia noah 2010 3zr fe nii motoo na upepo kaka kama prado TXL 1KD FTV TURBO
2024-12-04 18:09:38
2
omaryhamad35
Omary Hamad :
:The shortest conversation in the world is when you're in the toilet and someone opens the door 😂 You : Ah 😒 The person : oooh
2024-11-10 14:41:49
3
jamilahjuma197
jamilahjuma197 :
nimefatilia comment asanten
2024-12-19 09:27:01
0
jamesbahat99
James bahat99 :
hourse powerHP...,na CC ya engine
2024-12-03 14:22:13
1
joh_maker
Jj :
Gari ni kama mwanamke.. inahitaji matunzo..📌
2024-11-08 09:13:50
5
user88860163925678
Chief Sankai :
Wanunue magari kwa marengo maalumu ktk shuhuri zao zakila siku sio wanunue kwakuonekana kwawatu wanamagari kitawalambaa
2024-11-07 20:28:48
8
marcodavid1512
Marco David1512 :
ukinunua gari usinunue kwa kujaribu.kubadili gari ni kazi sana.nunua once and for all.kama bajeti imepelea bora usubiri upate pesa yote.
2024-12-04 19:13:44
9
jkidoty
Jacky Paul :
wanunue gari wanazoweza kuzihudumia sio mkumbo 😁 niliwah kuwa na crown ngoja nilie kwanza 🥺🥺 ntarudi
2024-11-18 16:58:52
5
To see more videos from user @mtembezi_tnz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About