Eeh mungu nikumbushe kua huyu ni mtumishi wa Mungu😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-09 07:07:11
1323
TIMELESS NOEL :
Sasa Mimi naimba tuu Odi Dance hapo 😂😂😂
2024-11-29 00:43:08
633
Kulupanya :
jmn mbona huwa sizikubali nyimbo za huyu kaka japo ziko na ujumbe mzr 🤔🤔
2024-11-09 11:15:53
38
Niah🤭 :
Mm napenda kipande kile kina chosema ninge kulipa nin kama ungetaka nilipe jema mojmoja mana hata hii pumzi nayotuta hakuna dollar ingetosha 🥰sina kingine mm najivunia zaidi ako baba 🥰🙏
2024-11-09 10:49:40
314
Mage Agustino Haule :
shetani shindwa mume wa mtu Huyu acha niende kwa vibaka wenzangu
2024-11-10 21:32:18
116
Nesi mwakafuje :
kututamanisha tu ili tukiwatamani tuonekane sisi malaya ee mungu naww umeona anatulazimisha tumtamani simama nasi watesi wako baba tunateseka
2024-11-09 20:25:16
63
mama cute :
nilitaman niongeee ila ni mtumish wa mungu🤣🤣🤣
2024-11-08 21:29:01
100
Tripple M mamy💞 :
Nilisahau kumbe ni Mtumishi wa Mungu pepo toka apa pumbavu zangu😆😆
2024-11-09 12:30:34
123
Genius Pixel🤏😎 :
Kama umeipenda hi ngoma gonga like hapa🥰
2024-11-09 10:03:59
419
Wizard 🪄🔮 :
Ngoma YA kuvuka mwaka ishajipa❤️🤝💯
2024-11-10 19:38:30
61
salmawamoo :
mi malaya kweli et namtamani huy
2024-12-10 16:24:38
6
elida peter :
tukiobarikiwa na huu wimbo gonga hapoo
2024-11-13 13:21:07
102
nayn357 :
waooh namtukuza mungu kwa ajili yako kaka uzao wako ukawe kama nyota za angani
2024-11-09 17:24:39
8
@Ezekieli antoni :
Wangapi wanamkubari huyu jamaa kama mm gonga like
2024-12-27 11:42:38
16
_Meg🌸 :
Mtumishi, umeiva sana! 😍🥰
2024-12-24 05:46:25
16
Béatrice :
Vous êtes marié ou célibataire c urgent 😎
2024-11-14 16:20:36
10
🌹🌹🌹 :
you need a concert here in Kenya coz we love your song and made it popular here..my fellow Kenyans hellooo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2024-11-10 14:09:27
42
💕 :
nishapata wimbo wa send-off 😁
2024-11-13 04:53:09
9
justice one girl :
et mtu anavaa hereni daa 🤣🤣hata waimbaj siwaamini
2024-11-24 02:03:39
8
murambi_7 :
wacha aimbe hio kitu imtoke 🤣😂
2024-12-03 18:17:52
30
Shiney Anne :
so God this is the man you have been showing me in my dreams ....😏
2024-11-08 22:22:24
266
ALEXA ❤️ :
umeivaa na nimekumark
2024-11-09 16:26:41
88
Mimmoh Kungu :
This song aki can't get enough of it 🔥🔥🔥🥰🥰
2024-11-08 20:11:16
91
budiaa🥰 :
siwezi kuishi bila wewe☺️☺️mtumishi wa mungu Joel lwanga😃😃
2024-11-09 14:21:09
14
Cute Sarah :
AirPods not enough for this song 🎵
2024-11-09 08:50:00
146
To see more videos from user @joellwaga, please go to the Tikwm
homepage.