@eddienyota: #tiktokviral #tiktoktanzania #tiktokzanzibar #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokdaressalaam #eddienyota5

Eddienyota5
Eddienyota5
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 09 November 2024 18:31:21 GMT
164799
7725
274
530

Music

Download

Comments

iammrsdullah
Iammrs Dullah :
Part 2 please 😅
2024-11-10 10:04:55
10
raj_maburudani0
Raj Mabrudani :
walh mola amlipe uyu brother
2024-11-10 08:31:10
3
thedripking0
Denny bwoy msafi :
😂😂😂😂😂very funny
2024-11-19 06:57:47
1
bonnythetrucker
bonface :
1990 na hizo scratches and dent zote
2024-11-18 13:57:02
0
mwau_raa_
mwauraa :
broski just snitched on himself😂
2024-11-12 19:58:15
0
dida.de.finest
Dida de Finest :
Honestly unamuhoji vizuri
2024-12-07 12:11:42
0
abdulrahmanomar261
عبدالرحمان ابن السقاف :
plz part 3
2024-12-03 09:39:32
0
ney_7399
ney_7399 :
imagine your brother
2024-11-15 11:59:38
1
shedrackdamiani
Shedrack Damiani :
next
2024-11-11 16:46:01
0
mommybrian
mommybrian :
Watu wanapitia stress nyingi sana sema tunatofautiana kuhandle mambo huyu jamaa anakiu ya kubadirisha maisha ya wazazi wake sana sema stress zinampelekea kupata hii depression 🥺but he’s a good guy 🥰
2024-11-10 16:22:01
69
officialallyally33
𝙖𝙡𝙡𝙮𝙙𝙚𝙧𝙪𝙘𝙝𝙖33 :
Kweli walevi wataiona pepo kuliko mashekhe kaka amewaza swadaka na wazazi Daaaaah 🙏😭🙏
2024-11-10 10:03:06
15
minnie_mamu
Minnieme👣♈ :
Ni kheri amekumbuka Wazazi wake na Watoto yatima
2024-11-13 16:47:29
38
edsonmatajiri358
Eddy Meek on tz :
Kwenye maisha kuyumba na kupotea kimaisha kupo lakin jichunge usifikie hatua hii sema big up jamaa kawakumbuka wazazi na watoto yatima sema ndoivo
2024-11-10 12:03:06
12
bablee_255
lly Sk :
Mwaka 1990 ngaa amezaliwa na kula ungaa ngaaa😂😂
2024-11-10 19:01:54
14
saumujafar
saumu jafar🌸❤️ :
Ngaaa 😂😂😂my kenyans tuseme ni mapangale
2024-11-17 22:51:13
9
amina.athumani1
Amina Athumani :
mashallah anamawazo mazuri nimeyapenda kumujengea mama ake nyumbn na baba ake anampa ela yabiashala na nyingine watto yatima Inshallah utaipata lkn usinywe pombe please🥰
2024-11-25 19:53:43
2
lalgerino.louise
L'algerino Louise :
Point Noted...Maa Shaa Allah mawazo Yake sio mabaya...but hapo kwa Ng'a Ng'aaah😅😅😅
2024-11-10 19:24:37
4
salhasweety11
TREAT WITH ART HERBAL SHOP :
anapatikana wapi huyu bro yani nkifika tz nna zawadi yake
2024-11-10 11:16:14
2
doretwillys
Empress 💖 :
huyo huyo baba aliekupa milioni Mia moja warudi wampa hela ya biashara sio😅😅😅😅😅
2024-11-10 19:45:56
1
abdulkadir2260
Abdulkadir :
usimzarau mtu huyu jamaa yupo vzr sematu ndo mitihani ya kimaisha,tumuombe Allah tujaalie mwisho mwema.
2024-11-27 05:12:31
7
mamunny1
Mamiloo🖤 :
nikiwaambiwa pombe zinazeesha hamnielewi haya ona mtoto wa 90 km mzee wa 70😂
2024-11-10 11:38:20
10
rashidysultany
rashidysultany :
haogi . ana kunywa tu kilimanjaro. ana kuwa mweupe . hana ata chunusi. amna haja ya filta. madada wakibongo hamuoni fursa iyo.
2024-11-10 13:12:37
7
josephina.elias1
Josephina Elias :
mwaka alozaliwa hapo hapo akaanza kuvuta unga
2024-11-10 13:20:03
4
tifabby09
tifa bby💞💘 :
Alafu ukute anapeana umbea wote kwapolis😂😂😂😂
2024-11-10 09:36:00
3
albahryhussein
Ardhiiz420 :
Wakuu mnakijuwa icho kidoliii apo😂😂
2024-11-10 19:49:13
1
To see more videos from user @eddienyota, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About