@bukobawadaulive: HII NDIYO BUKOBA YETU; Moja ya Mji wa Kihistoria toka mwaka 1890 ulianzishwa na Wajerumani Mji wa Bukoba (Buhaya) Upo kando kando ya Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba Mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya wilaya. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 144,938. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796 _____ @bukobawadauMedia @bukobawadau #BukobawadauMatukio #Visitbukoba #visitKagera
bukobawadaulive
Region: TZ
Sunday 10 November 2024 00:06:43 GMT
Music
Download
Comments
Ammy :
our home land bukoba
2024-11-10 14:50:38
1
Peacequen :
Home sweet home 🥰🥰
2024-11-15 12:41:10
0
eva :
waoooo i mis home
2024-11-10 08:53:31
2
Naima Zedy :
home ithe best
2024-11-10 16:54:13
0
Derick Deus Jr. :
proudly HAYA
2024-11-12 06:37:14
0
Kay Munyameda Senior :
It's like Runyoro language in uganda
2024-11-19 13:10:37
1
Shahidakasirate Shehedas :
home sweet home 🏡 🥰
2024-11-20 07:31:11
0
ZUBEDA Ramadhani :
home sweet home
2024-11-17 20:30:57
0
Angel wa Gian :
bukoba yona amabati ngatukura tuku
2024-11-10 14:25:10
21
Mreddu_tz :
kama nyumba za shirika vile🤣🤣 mabati rangi moja🤣
2024-11-10 07:50:24
8
zarha :
Ngende kulya ebikyala nebigando mawe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-11-10 07:42:30
6
Amina Abdallah :
jamani Tujuane Wabaya wote Karibuni Bukoba Karib Geita
2024-11-12 15:36:37
3
sylivia faustine :
bukoba ekashelela bojo
2024-11-10 07:33:53
3
jrdejolly 4 :
home sweet home .. dondosha like yako apa aba haya twemanye
2024-11-10 05:54:29
56
belina benson :
nimepamic sana. nyumbani kwetu bukobaa
2024-11-19 07:04:00
4
user4182712871810 :
msira haijaonekana
2024-11-10 07:09:54
1
Giddy :
Wimbo unaitwaje banyakutula?
2024-11-11 15:26:39
0
Jesca Athanael :
kwahyo bati nyeupe zilisha baki kukamatia senene tu.hamboi matajiri🤣🤣🤣
2024-11-10 18:56:50
0
sylivia faustine :
bonjo nowa aina empimbo za father sadoti azintwekele bojo anga nywena muli bana ba 2000
2024-11-10 07:34:56
4
user3699994339250 :
amayefahamu hotel yenye swimming pool anielekeze buka pia iwe na lift..
2024-11-11 00:59:25
3
To see more videos from user @bukobawadaulive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.