ningefurahi kujuwa jina la.huyo mwendawazimu ,na nimsikiti upi ulio wahi kutokea kuhutubiwa na mwandawazimu .
2024-11-10 11:51:13
125
user603282562778 :
Taqbiir
2025-01-28 12:38:34
3
qaswass :
😂😂😂😂story za jaba izo yani mwandazimu apande minmbr watu watulie tu
2024-11-11 22:53:37
13
BARKEH FARM🌲 :
What language is this?
2024-11-17 18:32:21
3
#@//Mr Nice 🫶🌄🐬 :
Alihumdulilah for everything Yaarabi 🤲🤲
2024-11-10 08:49:48
143
32forlife :
hawa watu na story za bunuasi
2024-11-10 11:33:30
27
user2066513187947 :
kaitoa kwenye google haina mashiko kwenge kitabu chochote
2024-11-10 18:53:47
5
super woman 🥰💕 :
اللهم صلى وسلم وبارك على الحبيب محمد
2025-01-27 03:33:15
2
WIDO PRINCE :
Paukwa pakawa izo, kwanza uyo nimwendawazimu wa aina gn? mwenye maneno km hayo na vp apande ktk mimbari watu wamuangalie tu, khutba inanguzo zke vp watu wakimu baada ya yy kushuka? masufi
2024-11-10 13:36:13
6
BAZAAR HARDWARE :
Al-akhy mche Allah huyo c mwendawazimu , hawezi akatoka mawaidha yakaenda bila kupotea ,watu hawawezi kumwachia mwendawazimu kutoa hutba unless huyo mwendawazimu ana akili timamu😁
ukweli kabisa mm ninae mjombangu akili yke haipo swa lkn adhan kiadhiniwa mbio msikitini
2024-11-12 19:58:35
54
CAPTAIN MAMBUTI 🤠 :
tumswalie mtume muhammad s.a.w
2024-11-13 19:34:26
13
quwwahforce :
nasheed name?
2024-11-11 12:43:50
18
Rukhsana :
Wallahi Maneno mazito sana
2024-11-10 08:32:26
33
which country is this 😊 :
which country is this 😳
2024-11-19 02:29:09
8
omarykibunta75gmail.com6 :
habari za uongo hizo
2024-11-10 14:22:18
3
Hammer :
Uwo sio mwendawazim sababu mwendawazim anakua mara nyingi huwa sio msafi hana udhu hana hakili ya kukumbuka kusema hayo maneno wala hana excesses yakufika mpaka mimbari 😅
2024-11-19 14:23:16
2
Ommy :
1: Mwendawazimu tunampima kwa kipimo gani?
2: Mwendazimu ni yupi kati ya aliyetoa hutuba ama ni wale aliowataja?
2024-11-11 19:44:02
37
mudy zombier :
mbn watu mnazalau hv mwenyez mungu ajamuumba mwendawazim ata mtu mmoja acheni kumkufulu mungu
2024-11-11 07:03:56
4
binsamiromar :
Hiki ulichoweka, naam
2024-11-12 07:25:37
3
mohdmud6 :
kuna wajinga wanahangaika na vitbu kisa kimetoka wp badala kuzingatia mafunzo
2024-11-11 06:59:55
41
jikhany ahmady :
tumswalie mtume Muhammad s.a.w
2024-11-13 18:30:13
15
Gylain brooklyn :
may Allah forgive us for the SALAH's we always miss
2024-11-12 10:38:43
9
To see more videos from user @_froggy254, please go to the Tikwm
homepage.