@official_mtiamoyo1: Replying to @julleth.cosmas ➡️ Unayo nafasi ya kutengenezewa Clip kwaajili ya; - Mapenzi, - Happy Birthday 🎂 - Kuomba msamaha 💔 - Kuonyesha mapenzi nk. - Kutongoza 😘 - Anniversary - Send-off - Harusi/Ndoa - Kuachana/Breakup 💔 Gharama ya huduma hii ni tofauti kulingana na kazi unayoitaka ✍️ Kwanini Usumbuke Kichwa na Mtia Moyo nipo? 🤷♂️ +255 716 213 105 WhatsApp Hakuna kazi mbovu 🔥🥰 #mtiamoyo #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #kenya #tanzania #tanzaniantiktokers #tanzaniatiktok #viral_video
Official Mtia Moyo
Region: TZ
Sunday 10 November 2024 11:21:31 GMT
Music
Download
Comments
adelove💜 :
nifanyie moja, mpenz wangu saiz yupo busy sana hata muda na mimi, nikimtafuta anachelewa kujibu mara ananiambia subiri🙏😭
2024-11-20 09:25:48
7
hydro vi📌 :
ameniacha kisa na maana nilifeli kumtumia pesa...mwezi jana
2024-11-10 12:28:05
5
sabra decute :
naomba ya kumpenda mtu asiekupenda
2026-04-26 20:25:07
1
Mrs AJUAYE♥️♥️ :
inaonekana kilio cha wanawake kimetapakaa wanaume hukumu yenu ipo na ipo kabisaa machozi ya mwanamke hayaendi bure kama hajakukosea yeye😭😭😭😭😭😭😭
2024-11-13 13:55:01
5
Hawa Dere :
mtia moyo mtia moyo dah 😭😭😭😭anh cwez kuongea mengi ila umenigusa sanna
2024-11-12 21:34:45
4
Maria Habibu❤❤ :
mimi namba unifanyie ya kuwa kwenye mausiano lakini ni kufokewa tu
2025-01-12 19:43:25
0
Neema_officialy1 :
aliniacha kisa nimebebeya ujauzito 😟😟😟😫
2024-11-12 06:06:45
2
Zuuh❤️🦋🦋🔐 :
Asante kwa kututia moyo best🥰🥰
2024-11-10 12:32:11
1
kamba gal💞💞 :
nfnyie ya mpezi wangu nampenda n sko tayari kumpoteza,,,,,jina Frank🥰🙏🙏🙏
2024-11-11 21:27:33
1
Lastborn wa Mungu🌺🌸 :
umeoa ndugu mtangazaji😂
2024-11-16 20:43:06
1
Ashawaiddi😘 :
😭😭😭 current situation waah binanadamu lakini viumbe vyaajabu
2024-11-11 05:15:20
2
Faustina :
naomba sauti yakuomba musamaa kwa mme wangu
2024-11-10 11:45:03
1
user967292058645 :
naomba nifanyia Moja ya mwanaumee asie na eshima malaya
2024-11-15 20:07:52
0
Mery Yohana :
mtia moyo me sielew haya mapenz niya namna ngan embu niambie
2024-11-13 09:32:10
0
muumini49 :
kweli kaka
2024-11-12 23:01:52
2
rebecca kavira :
Asante kaka
2024-11-11 04:41:22
2
zuwena béby❤️❤️❤️ :
asate mutiya moyo❤️
2024-11-10 21:21:36
3
Mapenzi mbilizi Sylvie :
merci mutiya moyo napenda
2024-11-10 15:12:15
3
Big Boss🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Ahsante kwa ujumbe zako zinatutia nguvu na kusonga mbele barikiwa sana mtia moyo🙏
2024-11-14 07:43:10
2
Daughter of Christ 😍😘 :
very painful 💔 😢 my situation now 😢 Lord see me through
2024-11-24 07:56:56
2
gloria imani :
vraiment ni kweli
2024-11-15 04:10:09
1
azlin💞💞 cosmetics 💄 :
🥰asnte sanaa mtia moyo
2024-11-10 11:49:19
3
karangi :
bro
2024-11-22 18:01:47
1
azlin💞💞 cosmetics 💄 :
mtia moyo naomba no nikutumie hata hela ya bando hakika hii imenifanya ni jaribu kujiona mtu katika watu
2024-11-10 11:58:26
2
🦋lissa🦋 :
naomb yakumwambia mtu ninaye mpenda lakin yy anamahusian yake mengine
2024-11-10 12:11:59
0
To see more videos from user @official_mtiamoyo1, please go to the Tikwm
homepage.