@kuti_kavu: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda

kuti_kavu
kuti_kavu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 November 2024 17:26:48 GMT
847349
19285
426
2582

Music

Download

Comments

sangusson
pius :
hapo unawaza ungekua mchawi ungekua umepotea mda sana
2024-11-12 14:11:40
72
user1568049261058
kevo raxo :
hahaha wazee wa kudoji tupooo 😂😂😂😂😂😂
2025-01-11 08:42:23
3
mopezestopper
Mope Ze Stopper :
Ewe unayesoma comment Hii mungu akulinde na kila baya katika huu mwaka uingie 2025 kwa baraka nyingi na mafanikio mengi 😘😘🙏🙏💕💓❤
2024-12-06 21:19:30
56
kenny56696
Kenny :
kwani si unabadilisha chap
2024-11-11 08:43:17
23
user1190254557481
[email protected] :
sasa we sio kuchapwa ni kunyongwa kabisaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-11-10 18:50:03
41
user9968383655132
Rania happy😍 :
yesu Wang najinyea mimi
2024-11-11 05:34:20
14
mosesmusembi341
mosesmusembi341 :
alafu unaskia akikuita akisema look at this boy very bright ebu tuone answer yako
2025-01-06 07:46:01
5
michael.tyson449
Michael Tyson :
wewe utasema hapo Victoria ni samaki ulikuwa umeenda kuvua😅😅
2024-11-11 17:27:28
6
abeldinego
It's mr mataiz🥼💊💊 :
niliwahi chapwa na mwl wangu wa phys kisa nimepata 75 arf mdogo wangu kapata 29 akachwa iliniuma.
2024-11-12 18:15:46
8
user6982017429453
me :
mmmh uwo mlio ni kuchapwa fimbo ya jibu au
2024-11-15 17:09:42
5
wizzo58940
Wizzo🔹 :
ni chakula ya staff 😂
2024-11-11 20:09:50
5
simionkirober
mof the unique :
dirisha linanihusu
2024-11-11 20:42:21
5
user31636191980046
cyroo m :
kama huyo anapigwa hivyo wewe unanyorewa ngozi ukiwa uhai
2024-11-12 05:55:12
5
hamaad2839
Hamaad :
ukiwa bongo kwanini ufe kwa stres maana Kuna watu wanafrahisha aisee
2024-11-27 20:33:23
6
sidesideoficialtz
side :
wanapanga kunimaliza mungu wanapanga kunimaliza
2024-11-14 15:31:41
6
breezy.david4
Breezy David :
Wa ziwa Victoria aendee mzazi Sijui anangoja nini😂😂😂😂
2024-11-29 09:42:40
6
johnny.africa
John...chambo :
oya we kama umetoroka milembe
2024-11-11 08:34:38
5
kenjakante
kenjakante :
staki kukumbuka hii maneno bna 🤔🤣🤣
2024-11-13 13:49:30
6
jacto04
jackie💫🥰 :
Mnanikumbusha chemical reaction 😫😫 form three A
2024-11-11 09:32:51
7
itfadya
💞Fadya💜❤️‍🩹 :
yesu muangalie ananiuwa yesu wang🤣🤣🤣
2024-11-11 11:30:18
8
user81667977584548
promise :
🤣🤣🤣 me na homa inanipata hapo hapo nakuwa wa baridiiiiiii
2024-12-13 21:28:42
3
tulianelson
Cleopatrah t :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣☺️inatokeaga mtu alikua msitari wa mbele anaanza kurudi nyuma
2024-12-25 07:17:50
2
user44315415027991
prety chimamy :
unatamani igogwe kengere yadharula😁😁
2024-12-07 18:43:31
3
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
mi tayari mikojo ishapita zamani
2024-12-09 18:48:09
2
jenny.stez
Jenny Stez :
🤣🤣🤣🤣subili fimbo mbwa ww
2024-12-16 18:42:11
2
To see more videos from user @kuti_kavu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About