@mtandale.photographer: Muda wa zawadi sasa #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #wedding #weddingvibes

Mtandale Photographer
Mtandale Photographer
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 November 2024 19:26:08 GMT
1214329
48707
654
2222

Music

Download

Comments

cpaauditor
CPA Philip Nzuki :
kumbe wanawake wa Kenya ni Bweha tu wasioishi msituni 🤣🤣🤣
2024-11-13 16:51:16
164
johnrubia02
john :
kwani mm nilióa jetli😅😅
2024-11-13 05:56:17
102
njerimbuteh
daliso mbuteh :
arusi na zawadi ni za wa tz .. lakini comment section imejaa wakenya😂😂😂😂kumbafu zetu sisi😂😂🤣
2024-11-16 16:26:17
67
vignear
vignear wa rongai :
Kenyans wenye tunawatch ,tukijua hii haiwez fanyika kwetu,,saseni😂😂😂
2024-11-17 06:55:14
65
camillahnancee
_it's.NANCEE🍁💫 :
never try this in Kenya 😂😂😂😂😂
2024-11-16 13:48:10
40
kispan6
Kisss :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰ዋውውው
2024-11-18 20:18:48
1
dmonte_254
@dmonte254 :
mkuu hii unaitwa kiatu na hiyo kiatu utakanyaga nayo kubwa kubwa ukigongewa 😂😂
2024-11-17 17:54:08
12
dp.kindiki3
DP KINDIKI :
nimekuja kugundua shida za wanawake wa Kenya ni kumskiza bi mswafari na huyo mwanaume Benjamin Zulu. katika uongozi wangu nitawaletea mabibi kutoka Tanzania.
2024-11-18 06:51:06
10
ananda.828
Dickson Ananda :
itabidi nikatafute jiko Tanzania, za huku Kenya hapana😂😂😂😂
2024-12-05 17:10:12
2
dr_nguniko_the_epadrino
Dr. Nguniko the Elpadrino :
guys ni ukweli ndio narudi nmetoka na mmoja huko sahi Niko border
2024-11-24 10:10:06
2
d.mully254
𝔻𝕒𝕟 𝕄𝕦𝕝𝕚 :
Wanawake wa Tanzania wanapea wanaume wao zawadi 😂madem wa kenya ni magoons🤭😂
2024-11-20 19:04:17
5
patrick.meilleur
Patrick meilleur :
très bien
2025-01-02 18:59:40
1
freddybakaato
Bulldozer :
Mama unasema
2024-12-10 16:39:54
1
harispoi007
Bachelor🇸🇴 :
mungu wetu wakenya shida yao ni gani 😂😂y are they so harsh 😢
2024-11-18 21:52:11
3
bora.tz3
Kichech Mdodo Tz :
kweli
2024-12-25 06:10:37
1
patience.mabia
Patience Mabia :
Super macheri
2024-12-14 10:11:11
1
kennedymmaomond
Kennedy Mmaomond☑️ :
halafu kuna hawa wetu wa kenya, hata socks hutaona..God have mercy upon us🤦🤦🤦🇰🇪🇰🇪
2024-11-18 06:06:50
4
mercyline5260
mercyline :
kwani huku kenya tunaoa kina nani.. we believe ata umfanye nini mume wako he will still gonga nje
2024-11-16 22:29:18
3
king_morgan254
king Morgan :
so TZ ilichukua wote wazuri ikatuachia magaidi 🤣🤣
2024-11-19 17:29:48
5
agirltoto312
lastborn254🇰🇪🇰🇪🥰🥰 :
hivi mbona Wana wake watanzania ndio wanaotoa zawadi kwa wanaume ila wanaume hawatoi zawadi kwa wanawake wao
2024-11-18 07:13:14
1
lizzzylisa
Ľĩźźý ľĩşà🇰🇪🇦🇪 :
😂😂😂kenya Kenya
2024-11-18 03:27:19
1
efington
Efington Ole Sankale :
nimeamua kutafta mtanzania hapa sasa...
2024-11-20 10:22:35
1
jentah35
Jentah✅♥️ :
nitaanzaje kubaiya kijiso zawadi izi ilhali keshoe anachiti mhhh
2024-12-03 21:13:22
1
its_carol284
🦋_carol🦋 :
😂😂hallo kenyans😅😅😅😅sisi uku Kenya hyo tunaita kuaribu pesa ya mwanamke😂😂😳😅😅😅
2024-11-16 13:41:03
4
madamboss0011
more than a woman 001💪 :
kuna kiherehere ya mother in law kwa background 😂😂😂
2024-11-28 04:58:33
2
To see more videos from user @mtandale.photographer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About