@focustvtz: "Cheo hakilindwi, kama ambavyo hakikuja kwa wewe kukipambania kitaondoka siku Moja, utake usitake atakuja mtu mwingine kwasababu hata wewe ulikuta mtu mwingine" - Maneno ya Busara kutoka Kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko. #focusdigitotv