Ni kweli kweny pombe hapo hata babu alikuwa anafanya kila mwaka alikuwa na ng'ombe nying sana🙏
2024-11-14 20:35:51
3
esse💝 :
hii tambiko ndogo ni nini ni mbuzi
2024-11-12 09:20:36
1
JJ🥰 :
Dada me na shida na dawa ya uzazi
2024-11-20 15:47:23
1
INTROVERT :
mbona chief goodlove aliipa mizimu Hennessy sasa
2024-11-15 05:05:38
3
NGOSHA :
Ukiwa unafanya hiyo matambiko, unataja na majina yao wazee, kwa mama na baba, na vipi kama hujui majina yao unaweza sema mababu na mabibi zangu wote? mimi mjukuu wenu fulani basi au ??
2024-11-13 09:41:55
3
Rizo&Dil :
somo nzuri sana
unapomwaga sadaka zako ,chini kutakua pasafi au mazingira kama ulivyo yakuta?
2024-11-12 09:36:53
0
nassa mawe :
Dr kuita mizimu unakosea wanaitwa roho au waishio ktk maisha ya kiroho
2024-12-08 10:54:20
0
shanherb glow 👸 :
naomba kujua ugoŕo ni nini kindly🙏
2024-12-10 23:08:21
0
no body :
Na linafanyika muda gan au n muda wwte mama
2024-11-13 05:46:28
0
Maingo Eze :
linapo fanyika tambiko unakua peke yoko au family
2024-11-17 08:50:24
0
halod :
Habari zamudahuu,dada naomba ni kurize swari natakakuji unga nishana mizimu yakwetu inatakiwa nifanyaje irikua mbata nanayo ;,;🙂😊
2025-02-19 14:25:09
0
Wallace Waweru :
hivi ni Mababu wa upande gani wamama au wa baba
2024-11-16 13:18:56
0
The Last Generations :
bora nifanye tambiko la mkuu wao lucifer si. kwa hawa vikwekwerekwe mizimu
2024-11-15 13:31:18
0
Queen Kimbe :
ila kuna jambo nina omba kuuliza nitaka kwenda kuona kabuli la Baba yangu toka azikiwe sija wahi enda nina weza enda kusafisha nakuongea kitu au iko vipi apo plz ukiona naomba unijibu Dada
2024-11-12 14:00:37
1
Ussi Bori :
walishindwa hao mizimu kujiokoa kwenye utumwa na kubaki masikini waje kuweza Leo kukusaidia wew huu ni utapeli wa akili
2024-11-16 20:37:42
0
Mshangazi Badra :
jee baharini inawezekana😔😔
2024-12-30 08:59:52
1
swaburuzacharia :
Binti mdogo lakin unajua Mambo makubwa sana, Tambiko ni muhimu sana sanaa. Asante na hongera sana🙏
2024-11-18 17:27:04
1
Queen Kimbe :
MUNGU akutunze Dada nina kuerewa sana enderewa kutufundisha tupone tunao hitaji kujuwa mambo yamila
2024-11-12 13:56:55
2
Deathbed Doctrines :
dhaka kanisani sio uchawi,,,wacha kumuhusisha Mungu na shirki
2024-11-18 11:40:51
1
Emmanuel King Daniel :
amiin🙏🙏
2024-11-12 09:54:14
1
esse💝 :
Okay
2024-11-12 09:22:11
1
esse💝 :
dr mwaka pole sana nimeelewa sasa niliambiyo nifanye tambiko sasa nilikuwa nikifikili tambiko unachinja mbuzi manake kuna mtu aliniambiya hivio
2024-11-12 09:30:35
0
Muna thebillions :
Mm nakupenda bwana, natamani ungekuwa best wangu wa thamani sana..
2026-06-04 14:04:35
0
KRama :
uboro ni nini?
2025-11-08 14:12:28
0
prince Petro fungo :
code
2024-11-12 08:49:57
0
To see more videos from user @drmwakaglobal, please go to the Tikwm
homepage.