wimbo una itwaje jamani ??? please naomba jina please
2024-11-13 20:47:33
5
🧸the🍓real🫀smile🌝 :
kula acha kelele mapenzi mapenzi nini😅😅😅😂
2024-11-15 19:00:05
12
mom wa 3 :
mwinjuma muumin kama unamkubali gonga like hapa
2024-12-13 19:56:19
10
Glory Tausi :
Tunda was one of the best hit song in my era.
2024-11-15 13:21:31
5
Isack Nchombe :
watt wa buku mbili wanajua huu ni wimbo mpya wa zuxhu
2024-11-16 14:25:29
8
salha__store :
Kula bhana ww mapenzi mapenz us
2024-11-13 18:16:31
4
rachel akyoo :
kishari cwezi kuishi bila wew 🥰
2024-11-13 11:52:54
8
khamissi japhary :
nimeshawapenda siwezi kuishi bila nyinyi
2024-11-14 13:43:43
2
gabriel Joviny :
msalimyee huyo muhunii ako Na chenii Kwa shingooo
2025-01-11 12:51:38
1
Vero Vero :
nyimbo za mwinjuma zimerudishwa jamani.
2024-11-15 16:10:07
5
Rose Kishary :
Kazi kazi
2024-11-13 10:57:53
4
deogratius urio :
zile pilau zinatembezwa kwenye ndoo
2024-11-14 00:08:20
2
@NeemaAthanazi :
watoto wa elfu mbili wanadhani ni new song 😂😂😂
2024-11-20 12:25:21
4
James egobi :
mshikaji wangu kishari hakika umenikumbusha mbali sana.
2024-11-14 00:20:19
4
mahoronjobeautystore_arusha :
Subiri kdogo, usipite, nakuombea Mungu akulinde, akutunze, akupe ngozi ya kuglow,mwaka wa 2025 uwe mwaka wa baraka kwako,sema amen.
Naomba unifollow, nami ntakufollow🥰🔥
2025-01-09 08:32:21
1
judysmajesty_hairdo :
Kula kwanza basi😂 mapenzi yatakuua kweli🙌
2024-12-18 17:39:16
2
Jacqueline254 :
Sasa siule huku unaimba🤣🤣🤣
2024-11-13 13:00:34
2
James egobi :
hivi hao wengine ni jamaa zake na kishari ni masaidia fundi au wakandarasi? maana sijaelewa maana ya zile overlori zao na refecta
2024-11-14 00:28:45
2
user4598612075523 :
aiseee huu winbo unanikumbusha mbali nilikua nina miaka 14
2024-12-05 18:27:07
1
kelvin moses :
msalimie lazaro na edga
2024-11-14 11:01:52
2
yakiniselemani :
oya kama nimewaona jamaa wawili waliosoma nangwa vtc mr maswauli
2024-11-14 08:28:39
2
mom's rey :
Hatariii huo wimbo
2024-11-14 13:01:05
2
veronicahlusekelo :
mapenzi yamenilamba😂😂
2024-11-13 11:53:35
2
pascal minja :
namwona j analamba pilau
2024-11-13 12:18:17
2
gabriellemwel :
kishari hapo imekosena mbege tu plao lingeshukaaaa
2024-11-13 12:43:21
2
To see more videos from user @mr_kishariii_b.i.g, please go to the Tikwm
homepage.