@madamecatherine: #viral_video #kenyantiktok🇰🇪 #men #health #tanzania🇹🇿 #goviral #foruyou #pregnant #women #fyp

Madamecatherine
Madamecatherine
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 13 November 2024 17:58:36 GMT
251494
1879
125
504

Music

Download

Comments

nyabigeso1
Neema Nyabigeso ♐ :
Ahsante saana mungu akutunze ilikua ikifika tarehe yangu yakuingia priod tumbo linaishia kuuma tu jana nime tengeneza huo mchanganyiko naleo asubuhi jion ngoma ikaitikia 🙏
2025-02-01 16:46:27
16
queenestar1
P. daughter 💞 :
Mm sina asali ss
2025-10-03 08:58:16
0
maige.mateo
mwasty :
mara ngap kwa siku samahan nijib
2025-01-31 18:13:55
6
siasaid0
ukhty Siya :
nmetumia Jana tu Leo kitu kimejipa shukran
2025-12-14 11:05:22
3
anna.lix8
a🥀nn🥀a :
asnteee sana sijapata period miezi 10 tangu nimejifungua lakini baada ya kutumia tyu sasa nimeanza kuona siku zangu
2025-05-16 11:03:18
4
glad.devid
Gee" dav :
jmn km cna tangawiz ya unga je cwez saga hii
2024-12-17 15:25:35
3
teddy.msafiri
Teddy Msafiri :
na saga vyota au
2025-03-14 17:12:08
3
user5475840097555
🍭miss jackie🍒 :
atakam ulitumia njia zauzazi wampango
2025-03-04 04:59:53
4
reynurudin4
reynurudin🥰 :
samahani lazima tangawizi mbichi tu
2025-04-03 13:01:14
1
bella24joy2
bella24joy2 :
Hujaweka Namba dada
2025-05-13 18:54:41
1
maryhaule167
Mary Haule :
ndio natengeneza apa nitumie kuanzia leo Mungu nisaidie
2025-08-20 10:18:22
2
user5150651442296
aika :
hii ni kwel kabisa Dada angu alitumia na alipata majibu mazuri
2024-11-18 10:45:08
4
mimah2194
Mimah :
mimi naingia kila mwezi ila damu haitoki kwa wingi alafu inakua na uterezi
2025-09-20 16:54:24
2
user234668782137
Shany 🤝💕🥰💌 :
unakunywa kwa siku gp n je kma sina asali
2024-11-15 20:38:48
2
magrethramadhan
Maggie :
madam natakiwa kutumia kwa siku mara ngapi
2026-03-06 07:48:58
1
user16195482956064
prettie marcee🥰🥰🥰 :
hy unakunywa ikipoa au ikiwa ya moto
2025-09-29 06:19:40
0
kissamabrand
kissamabrand :
yaan mimiperiod imegona na mimba hamna ngoja nitumie ntarudisha Majibu jaman
2025-10-09 13:19:38
1
hery.benny
Herylicious :
mm naumwa tu sipati hendi na nimepima mara mbili siyo mjamzito
2025-07-16 10:05:13
1
mimah2194
Mimah :
mimi yangu inatoka kidogokidogo sana naweza kutumia
2025-01-21 17:20:12
1
user9969773404254
user9969773404254 :
Nakunywa kwa siku gp please
2024-11-15 22:24:03
1
salmamohdmzeemzes
rahamaa56789 :
kma niko na demu jee
2025-06-24 19:56:33
1
user4713615923334
salmatz :
dada nimekutafu mchana uka sema unakaz
2025-08-19 17:47:50
1
user4468547834465jjm
user4468547834465jjm :
nikuywaje jamani mana sijaona mienzi 8sasa naumia
2025-02-18 20:54:32
1
evammry
Eva mmary :
naenda kuandaa leo
2025-11-29 11:01:14
0
esthermusale605
esthermusale605 :
na mtu ambaye siku zake za hedzi kufudja sana anafanya je?
2024-11-19 10:58:11
0
To see more videos from user @madamecatherine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About