nilitumia mara kibao lkn sahii ashukuliwe Mungu ajibuye maomb yetu
ninaujauzito🙏🙏🙏 2025 I will mom
2024-11-14 18:56:43
22
notification :
kaa huko hapo na umeona leo p2 mara ya kwanza like hii comment
2024-12-15 09:48:04
11
Vee_luxes🎀🦋💜 :
Hv kam umetumia ujaon period miez 2 ni nn shida
2024-11-15 22:05:35
7
Mama girls :
mnipee ya kutoa mimba sijanyesha hii mwezi pekee
2024-11-27 14:43:38
11
Lady ❤️ :
Nilitumiq kama mala 5 ya tano zikansaliti nkabeba mimba 😂soon naitwa mama
2024-11-15 06:40:19
7
joykoko official 💞💞 :
nakwambia hii p2 sitawahi jaribu nilitumia for long nakwambia maina,, ukipata bwana then ushike mimba inatoka tu enyewe😳😳😳😳but nilioshwa na dawa ya kienyeji saa hii niko sawa kabisa nashkuru mungu
2024-11-15 08:57:30
8
🥰Blythe😘Ida❤️ :
p2 yangu iko six years sai 😂😂😂😂
2024-11-16 14:33:07
19
kush :
2years kama sijapata ball bt I thank God I'm a mother to be now.
2024-11-15 14:44:07
36
weenie wangui :
Mimi nilitumia karibu mara 20 ,,nikakosa periods mwaka mmoja sa ndo zilirudi na zinatoka brownish na sometimes blackish 😭,, kuenda hosi nikatumwa scan nikaambiwa Niko na ovarian cysts Khai ,,
2024-11-15 13:03:15
66
Moureen Ndinda :
period inakam after one week 😭
2024-11-14 19:10:38
56
jruby459 :
Waaaaaaah hii dawa kwanguu imenikataa 😩if I try nitaendaaa period twice in one month
2024-11-15 08:06:53
11
ms p🥰💞 :
Namshukuru Mungu sijawahi kutumia na bado namwomba Mungu nisije kutumia🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2024-11-14 14:35:30
22
princess gee :
cjawahi na wala cjui ikojee eeee mwenyezi MUNGU nakushukuru kwa kuniepusha na hili zidi kujijalia roho hii ya kuishinda majaribu
2024-11-14 20:52:14
8
MadamG :
some of us give our gratitude to God juu weeeuh😆. i used it alot in 2 consecutive years and i had my daughter in 2021 after my last use. its just God
2024-11-15 08:21:43
10
To see more videos from user @afyacare12, please go to the Tikwm
homepage.