hiyo nikama hakupenda kuolewa na mtoto wake...ni tu hakuwa anataka ujue...pole lakini..mimi naomba unisaidie 5000 tu..najua pesa unayo
2024-12-21 18:55:06
6
Sherry :
Nowadays mothers in laws n wachawi
2024-12-21 08:56:25
61
Elizabeth :
we dada ni mwanga mkubwa sana we ndio unajua uchungu wa huyo mwanaume mpeleke kwao shetan ww
2024-12-12 05:12:44
5
AFANDE ORIEMAZE 👨✈️🙏🙏🙏 :
😂😂😂😂Omba sana Otuoma awe hai for along time .. Otherwise hata iyo mwili utakua karibu nayo..
2024-11-16 21:11:48
14
Hope Sesilius :
ww dd umekosea sn kutemganisha kijana na mama yake
2024-11-21 06:57:46
4
maria john :
hata ivo kama mama mzazi vipi usimwone mwanao , huyo mama ana zake pia
2024-11-16 15:19:20
57
Omwalimu ochako one :
wanawake wengine mnacomment vibaya na amjawi Kaa na mgojwa
2024-11-16 15:19:45
7
user9925794056233 :
watu wote WA familia hawawezi kua wambaya, at least ukekua na urafiki na mmoja tu wa familia
2024-11-16 16:58:50
18
dyvn254 :
it's time sasa uoleke
you hustle
uzae
gifters wakugift uomoke zaidi
see in states soon
rip otuoma
2024-12-21 05:11:48
57
cate aisha :
Rachel alikua akifukuza huyo mama i was her house maneger not fare sai anaongea mauwongo huku
2024-12-10 10:56:15
4
Jen❤️👑 :
😏😏😏si ni ye ndo alikataa watu wasifike kwake
2024-11-16 14:58:46
13
Bellamic❤️ :
Ulisema hutaki wageni 😳😳 sasa utasaidikaje😂
2024-11-16 15:02:48
12
yiapa34 :
lakini huyo mama pia hayuko sambamba kiakili at all yaani mtoto wako agonjeke nahushughuliki Mimi hata kaama mtoto wangu ameoa mtu hatuelewani hiyo haiwezi nizuia kuona mtoto wangu
2024-12-20 05:26:25
8
SAMUEL MWEDWA k :
kama mamake otuomas ajawai kuja toka agonjeke mamake dio anajua chenye kimeua kijana
2024-12-21 17:16:46
10
karembo💞 🥀 🌹 :
in-law wako hivyo; whenvi give birth to my baby i had complicates kwa tumbo sisters who stay around kenyatta hos they don't come to check
2024-12-22 18:57:37
1
janat ahmad :
una roho mbaya sana
2024-11-16 18:28:31
4
UMMUH BIGGY❤😍😘 :
sasa mamake atakuja vipi kama wewe mwenyewe hutaki mtu kwako kila wakati kuhama😂😂😂😂aky huyu heee mungu amponye otuoma
2024-11-16 16:45:49
3
Tiktoker :
mimi hushindwa raha ya huyu mwanamke ni watu wakina otuoma wamuone akiwa Hali maututi kabisa??she denied them access😳😳😳
2024-11-16 15:54:57
7
mam Dylan :
a true definition of men kuwa n msimamo mamamkwe akikukataa
2024-12-24 09:12:16
0
Eddu :
No mother can hurt his son, simple and clear 🙏🙏🙏 respect to all mother's in the world
2024-12-22 17:32:18
1
Ruth :
waah she's not in good terms na mkwe from her facial expression😳
2024-11-16 15:39:17
24
Grace Organic :
wah. Na hakuna mtoto. Namhurumia recho . mwenye agemtetea ameenda. ako na kobarua kigumu
2024-12-24 20:20:00
2
To see more videos from user @bossette55, please go to the Tikwm
homepage.