Bro mm nna Router ya airtel ile Kubwa 5G vip nawez kuengeza speed
2024-11-16 20:56:07
4
koganelectronics :
kwa samsung hakuna hii feature
2024-11-24 20:03:01
3
Imran :
samsung haina hio kitu
2024-11-17 13:01:49
3
Ann Maroko95 :
Please ebu niambie niko n l phone xr but nikitumiw charge yeyote simu inakataa mpaka original charge nifanye nn
2024-11-17 18:28:56
0
Erad :
Broo samahan simu yangu imefel face id naomb unisadie nafanyaje
2024-11-16 17:44:28
3
DIRI IJETA :
ongea haraka Nikona hasira 😡
2024-11-18 17:35:47
1
DANI BOY :
kaka unajua sana
2026-02-24 17:08:50
1
Kabembo Tz :
Boss shukuran sanaa☘️👏 niombe ushaur tu ,hv wifi ipi ina connect watu zaidi ya 50 na bado inakuwa ya speed mana mm natafuta ya ku connect watu zaidi ya 50,naombeni ushaur nichukue wakuuu
2026-01-09 05:42:25
1
Galby wangu🫀🫅 :
natafuta hii video wi-fi yanisumbua mpka naiba
2024-12-25 22:36:16
1
SAMIA👧🏾 :
Aweeee asante serene hotel itanikoma😅😅😅😂😂
2024-11-29 16:16:06
0
@Suhaila Shaban :
👍nimefray sana kaka upo vizur
2025-01-10 20:59:28
0
bravo💥 tz💫 :
@joumer
2025-08-14 14:13:20
0
MG STORE🌾🍙 :
Watu wa iphone tufanyaje
2025-03-30 19:22:57
0
magy magy :
nionyeshe how to hide a wife
2025-01-13 09:37:48
0
MARA KWETU TZ :
Nisaidi njisi ya kuzuia whttp group isitumie bado bila kuruhusu
2024-11-16 22:44:35
0
BH.galgalo :
MBNA yangu Sion
2024-12-09 14:08:19
0
Cool33guy :
kutumia wifi mbila mwenyewe hasijue apps zenye nilikua nikiangalia??
2025-01-18 12:00:19
0
stepper & shamina 🐝 :
kw simu yangu nso aifanyi vizuri lkn kw wengine kw nyumbasimu zao ziko swa
2024-11-25 05:49:48
0
buster :
TV yako mbon inawaka moto umewezaj kuweka iyo system
2024-11-24 17:47:34
0
dayanajastine :
mbna mm intelligent amna kwenye simu yangu
2026-01-22 18:57:30
0
Kiimnur⚡️ :
Bro kwa iphone vipi
2024-12-02 19:08:35
0
Bigmami19 :
Aki simu yangu iko na shida sijui nini mbaya kila wakati lazima ni restart ndio iconnect wifi bila hivyo nashinda ofline nisaidie nijue shida ni gani samsung galaxy.
2024-12-26 20:39:25
0
user 901 :
Shukran
2025-01-06 03:45:02
0
Justin Christian :
Kak mm nina router ile ya Airtel 5G kwny wifi ina option mbili 4G na 5G lkn mm kwny simu yngu wifi inayoonekan ni ile ya 4G tu ya 5G haionekan lkn kwny simu nyingine zinaonekan zote 4G na 5G
2024-11-17 04:27:15
0
To see more videos from user @eng_makelele, please go to the Tikwm
homepage.