@hemedjumaa: #sheikhmselembinaly

Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 November 2024 08:45:56 GMT
299864
21179
176
2173

Music

Download

Comments

sulley.mar
sulley Maryam :
Yaalah nimpokelee msahama wangu niwe mwenye ibada yakweli
2024-11-18 06:33:13
37
_s._aleem
_S._aleem🩸 :
Wasia wangu my fellow muslims kosea the same mistake 1000 times the same day usiache kumuomba msamaha anayo sababu kwa nini alijiita ghafuur raheem
2024-11-17 16:20:55
20
ilham.khalid63
Ilham Khalid :
asant kwa ukumbusho mungu akupe umri mrefu uzidi kutufumbua macho
2024-11-18 07:46:14
16
linah.tarimo5
Linah Tarimo :
Allah atujalie mwisho mwema sote asante kwa darassa
2024-11-18 08:02:18
6
ellyfeisal
elly :
Mwenyezi Mungu anasema lahu umma huu halingekuwa linakosa angelibadilisha na umma ambao wanafanya makosa na kutubia kwani yeye Mwenyezi Mungu anapenda waja wa kutubia na anapenda kusikia mja akitubia
2024-11-17 09:54:54
19
clusterbabz4
Thureya Abdalla :
usiache kuomba msamaha,for the fear of Allah is the reason why u seek the forgiveness ..don't stop
2024-11-17 12:53:11
21
maryamck3
It’s maryam🌹❤️♋️ :
nisamehe Allah 🙏
2024-11-17 14:37:40
9
yahaya_746er
yahaya george :
shekhee mselemu Allah amlipe janaa yeye na mimi amiin
2024-11-18 07:28:55
11
user6881709557395somoo
samba :
zinaa bila mboko husamehewa
2024-11-18 03:28:56
2
user44662750216063
user44662750216063 :
shekhe wetu niombee dua pamoja nawazazi wangu napenda kuliko kituchochote ala atujalie mwosho mwema
2024-12-30 15:07:41
2
ukhtysauda001
🌸ukhtysauda🌺🌸🌺 :
Ya Allah forgive us our sins
2024-11-18 08:31:10
1
ululeon
Usiniache :
Mashallah mavonzo mzuri Mashallah shi
2024-12-18 11:10:57
1
haneefa841
Haneey🤍 :
asantee
2024-11-18 00:59:23
1
prettymimimi1
مي مي مي :
subhanallah
2024-11-17 22:18:13
1
muna64611
muna64 :
mungu atuongozeee
2024-11-19 08:11:11
1
yunnus.ahmed7
Mr spices :
jeh! kwa mfano umezini na mtu ila unamuona kila siku na yupo karibu Yako inawezekana kujizuilia 😳
2024-12-20 21:00:06
1
user2335372328793
user2335372328793 :
mungu atupe mwisho mwema nakutuepusha na haya madhambi ya zinaa
2024-12-15 16:19:14
1
jamilahissa668
jamilah issa :
ya ALLAH nijalie mume wangu wa halali
2024-12-12 11:19:00
1
apopa77
Mr cool :
sure
2024-11-17 09:49:33
4
user302652634
MUDRIC💔 :
allah akup maisha malefu uje kutupa mawaidha mpaka pepon
2024-11-22 11:23:28
1
lourenco686
lourenço :
allah atujalie mwisho mwema
2024-11-17 19:04:34
1
user8106332136567
@kili 2 :
naam
2024-11-17 12:41:45
2
ummu.salmabarsheba
ummu salma barsheba :
kweli kabisa
2024-11-18 05:23:55
1
kanunguyeye
by kanunguyeye :
hakika amen amen amen amen amen amen amen amen
2024-11-18 15:15:31
1
user4079866594977
wakizimba :
naamm shekhe
2024-11-18 09:31:45
1
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About