@dr.samia.suluhu.ha: Mazungumzo yangu na Wananchi kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
mama asalaam aleikum...Nina shida sana na weww nimeku tafuta kwa Barua pepe kupitia ofisi yako bila mafanikio nakuomba mama usikilize video niyoweka tiktok kisha nisaidie mama
2026-04-03 11:58:56
1
jaburant :
nakupenda wwtu unajua lL ove by Fledy gondwe fanya majukumu kwaajili ya watanzania ila fanyampango fedha ya Tanzania iwe nasamani kamanchi nyingine nakupenda
2026-07-20 19:53:01
0
🌸🍒miss- Teeh🌸🍒 :
shikamo mama naomba unisaidie mutaji nifanye biashala mama
2026-07-06 14:35:16
0
Ness ke :
madam imebaki tu mnyesho Moja tufike 2025, nakukumbusha tu
2024-11-18 05:40:14
5
Baracka paulo09 :
Mama naomba hela ya soda
2026-07-04 10:09:06
0
jbos the mad lion :
wewe mama
2026-06-10 08:16:47
1
mwaulambo super 5G :
naomba ata ten mama
2025-12-05 07:47:39
1
user2600530481292 :
pole
2026-04-26 19:02:35
1
Bamnyong'onde master :
samaan sana mamaa...nataman sana nikuone live nipige picha na wewe nakupenda sana mama unaogoza vizur nchii yetu
2026-05-19 10:32:41
1
Rehema Chapaulinge :
ahsante mama
2024-11-18 07:26:42
2
Nancy mulule :
mama naomba unisaidie mtaji nipo dodoma nafanya kaz ya usafil lod found lakin mishahara tunasumbuliwa na muajili wetu nakuomba mama angu unisaidie mam
2025-09-03 09:11:03
0
Joshua joel :
mm ningekuwa mkuu wa majeshi tayar ningekupinduwa.
2025-02-03 22:13:11
2
Jjdril3😎🔥 :
kwani anasoma news😅
2026-06-10 03:35:12
1
my love :
hali ngumu ya maisha ya nyumbni naomb tena naomba asa
2025-11-23 07:26:05
0
Yusof Ismail :
semoga Dr Samia terus diberikan kesihatan Dan dipermudahkan segala urusan. Aamin ya Allah.❤️
2024-11-23 07:44:57
0
Keith Urban :
Mungu atatunusuru na mitihani mengine ambayo hatuyajui kama hiyo.AMIN
2024-12-31 13:42:56
2
Forever young :
Yaan nikisikia sauti yako mama hata kama naumwa napata faraja najua niko na mama nakupenda sana
2024-12-26 05:23:16
0
mwaulambo super 5G :
kam
2025-12-05 07:47:21
0
petro Agunee by :
Mama nakuomba usogee mbele za mungu uombe toba maana ulio yafanya haya mpendezi mungu kwakweli Mama jishtukie hivo tu asantee ubarikiwe sanaa
2025-06-11 19:04:21
0
diasto :
mam Kun sis utuangalie tunashd mam ang tusaidie
2026-03-10 13:21:54
0
Max Boy :
Uyu Mtu Saiz Nimtapel Wame Nitape Million Moja Walisema wanakopesha Pik pik Nime Tuma Ela Sijaona Chocho mama Naomba Msaada Wako
2026-08-10 05:49:20
0
Maico Mnyama :
🙏🙏
2024-11-20 19:39:14
0
therealmagz :
@Ceccie coolest ~ ❤
2024-11-18 18:51:34
2
therealmagz :
@melosa🤎
2024-11-18 18:50:57
2
sitar boy :
🙏
2025-11-04 03:23:20
0
To see more videos from user @dr.samia.suluhu.ha, please go to the Tikwm
homepage.