nilichoma zote na nikapata D+... sai me ni KDF nko mandera salary 78k per month
2024-11-19 07:20:05
121
Gugah.Man :
kujeni tuandamane
2024-11-22 04:57:12
1
MartherOgendi :
watu wa corona mko wapi gather hapa😅
2024-11-19 07:03:57
395
Ann Karanja :
Tunawangoja campus mkuje tuiname pamoja🤣🤣
2024-11-18 15:11:01
280
Remnant_saxristan :
tuwaambie ukweli ama tuwache
2024-11-18 14:25:42
64
brendanyawira163 :
najua mauncle wa nairobi wamewapromise job kubavu zenu😅😅
2024-11-18 20:30:33
52
risnahlovenatalie💕 :
all the best my bros kujeni uku inje sasa🤣🤣 mtusaindie kutaptap the screen
2024-11-18 15:29:32
107
kristah❣️ :
sasa huyo wa pili anacheka?
2024-11-22 19:40:24
1
Morgan Odhiambo :
alafu mkuje tuuze dawa za mende, panya, kunguni karibu customer
2024-11-20 17:33:51
62
user0987654321123856728 :
😂hii shule kwani haina gen z ata mmoja??
2024-11-21 16:59:08
56
FOREX & CRYPTO :
Tulifanya Chemistry hivo last year nakuambia kila mtu aliuma D+ and below
2024-11-18 15:08:41
35
Hanjam Jr :
Ata heri shule kuliko huku nje 🥺
2024-11-21 14:32:35
30
Claire George🇰🇪 :
munajua nacheka kwa nini
2024-11-18 14:31:55
42
lilian kimani :
tuwaambie ukweli ama tuachane na wao
2024-11-20 10:08:05
27
Dr Noble Ehitare :
na mbna wote wakona ndengu kwa kichwa😂😂😂
2024-11-18 17:43:13
21
Phoebe 🌟🇰🇪 :
by the way mbona kunyoa ukiwa candidate ni shida
2024-11-21 13:35:50
4
its kimcydreadlocks :
tropical maji biscuits.. karibu customer... inawagoja😂😂
2024-11-19 09:56:06
8
Dorrie :
Pray hard usijipate shule next year.
during matiang'i era to the former Cs education forgot the the name. I did my knec five times.2016,2018,2019,2021 April 2022april.
na siringi
2024-11-21 13:51:13
1
Ace... :
😂😂wakuuu place mnakam ni noma joh,,,,Kila mtu achuke hizo wigs ameeka hapo😂😂