kama una amini kuna siku mungu atajibu hitaji lako gonga like hapa
2024-11-21 17:59:27
364
matridajohn793 :
Mungu awape watoto wote mnaolia hamna watoto kwa jina la Yesu
2024-12-03 15:43:27
52
Marie 💖 :
i have the same problem nahisi kabisa dalili za uja uzito lakini nikupima hakuna
2024-12-02 16:34:30
8
Rammyrashmy :
Mimi nakumbuka nimekuwa na dalili za mimba na nikapima nikakuta 1 line nikaenda hospital nikaambiwa nina mawazo ya na nawaza sana kuusu mimba
2024-11-19 21:49:09
8
caz🤍🍏 :
Na mini niko nailo tatizo kuna mda najihisi kuwa Nina ujauzoto lakini niki pima hakuna mimba sijuwe ni nini mungu atusaidiye
2024-11-30 11:32:41
2
gee :
mungu naomba utujalie wote itaj letuu
2024-12-01 05:37:31
33
Janeth Riziki :
nisaidie dada angu nina shida na mtoto kila nikipima nakuta sina na dalil zote za ujauzito na zupata please nisaidie dada angu kabla ya mwaka uhu kuisha nikapokeh kwa imani ya roho mtaktifu🙏🙏🙏🙏🙏
2024-11-20 10:27:29
10
Grace shadia :
ilinikuta hiyo kumbe ilikuwa ni homon .zinaniangaisha
2024-11-20 12:56:21
6
queen ❤️❤️🔥 :
mungu naomba utujalie wot went huhitaj watot
2024-11-22 17:55:22
16
Aunty💞💞Nuru💞 :
me pia nlikua hivo but sai sihisi tena dalili za ujauzito kama nakaribia kunyesha
2024-11-26 18:02:38
5
Janeth Liziki :
yesu wangu naomba unikkumbuke na mimi mungu maomba nikapokeh ujauzito yesu mwaka unaisha mungu nione na mimi mfalme wa amani🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2024-12-07 12:47:52
9
kulwa Deus :
Yan hiyo Hali huwa namm inanitokea nikienda kupima mimba sina
2024-12-09 12:13:37
5
Kelly's :
my situation right now
2024-11-22 17:24:39
10
user6107223681729hassani :
mungu sikumoja atakuandukisha daftaliyake sema amina
2024-12-03 06:42:39
5
lydianah :
i wonder what is the cause cos that's me right now