Polisi inatakiwa liwe ni waadilifu 100% lakini uhalisia Polisi wa Tanzania wapo 5% ni bado sana.
2024-11-18 23:28:40
6
user9042382829369 :
shehe yesu ni wa wakiristo.vipi Muhammad hamumkubari?
2024-11-19 07:04:27
1
James Nandi :
Amina sheeh,eneza injiri watu wamjue yesu ndie mungu
2024-11-25 19:47:19
0
kingnyakwamba :
Maneno hayo aliyaongea Yohana Mbatizaji sio Yesu
2024-11-20 18:32:01
0
nobert_footbal :
sheh ww muogope mungu hakuna bwana yesu katika kitabu chetu ni nabii issa mwana wa mariamu acha kuwardhisha watu kwa kukufuru njaa ina mwisho na mwisho ni kaburi
2024-11-19 13:10:55
1
Hodari06 :
🤣🤣🤣🤣🤣h akuyasema yesu bali yohana mbatizaji shehe fundisha ya msikitini ya mungu uyawezi
2024-11-19 12:40:15
0
Kasita Kasembo :
Hawa polic jau ..wanamamb ya ajabu sana.
labda ningekua mm..ningewaajiri mapasta namashekh ndowawe police😂😂
2024-11-19 13:21:12
3
To see more videos from user @resa69220, please go to the Tikwm
homepage.