hahahaha 😂🤣🤣 sema hii filam nzuri n mwishoo jmn Nicole ali ded jmn 😑
2024-11-29 10:39:37
5
CECO :
hivi leo kuna nini mbona mnapost sana movie za zamani?
2024-11-29 10:21:27
3
❤ :
anaongea kama queen Charlotte 😆
2024-11-24 08:52:20
4
kitime_outfits :
Hiii ray ilimuuma sana kwakweliii ,,,,, Ali pata kura moja tu 😂😂😂😂😂😂
2024-11-23 14:07:35
4
Heis_blessin :
Movie kali sana hii 😂😂😂
2024-12-05 09:04:48
3
Mparo de prince :
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi
Alipofika Mombo ak
2024-11-20 20:46:41
6
Alicia_kaycie :
Kwaiyo hamsemi jina la movie, eh?😏 Nauliza iviii, inaitwaje?😂
2024-11-23 12:56:52
0
🤓🤓 :
wabongo bwana 😆😆😆
2024-11-26 06:18:54
2
It’s ICEY🩵 :
kwan hii movie inaitwaje jamoon!
2024-12-03 09:43:00
1
chellykim :
mbwembwe tu😂
2024-11-23 21:14:39
1
aggie marco :
sio neno geni jijini😂
2024-12-21 05:23:02
1
Being_G :
Kumbe wazungu wameiga kutok kwetu😹😹
2024-11-27 20:31:26
1
To see more videos from user @jamesmarley60, please go to the Tikwm
homepage.