mim nauliza swali tafadhali nijubu
mm nimeachwa kwa talaka huu ni mwezi wa pili wa eda yangu mume Yuko kwake na mimi Niko kwangu
mara Jana mume amenitumia meseg kwakuwa ameshanirejea nisaidie
2024-11-23 10:51:00
4
aunt k,k :
A a naulizaa swali na mkea wa kakako alalea naa mumea waa mtoto wa dadangu ,,,afaa kuwacho na ,,mkea uyo uyo ,,amea vunda dowa 3,,zakulala na waumea,,
2024-11-21 11:42:33
3
Mohamed Mirza :
wacha uongo
2024-12-21 19:02:01
3
achudy07 :
sheikh kwaiyo ukimuandikia mtu talaka alafu hujatamtamkia itakua talaka haisihi
2024-12-01 04:46:07
2
bORibO seNIOR :
HAPO USTAADHI UNEFELI
ZERO BIN ZERO
2024-11-27 11:22:19
3
user926676306856 :
nisaidie mana simuelewi mimi sitaki kuendeleza hiyo ndowa Bado TU huu mwezi wa 12 nimalize eda yangu
2024-11-23 10:56:29
3
SWAHIBA ONLINE CAR WASH :
je babu kuoa inakuwaje shekhe kama kuoa ni maneno
2024-11-22 20:30:44
2
Julaibib@079 :
allah akupe umri na afya njema
2024-11-23 16:32:59
4
Chombezaa Mmmh. :
kweli
2024-11-22 17:27:33
4
🛵 SAR DELIVERY 🛵 :
😔😔😔mola asituoneshe haya
2024-11-21 10:23:24
4
Isma :
Mashallah allah akbar sheikh navo kupenda lillaahi taallah allah akupe jannah firdaus
2024-11-21 07:45:53
4
vpivpi :
sio anafaa apigwe mawe afe.quran imebadilika kwnil.🤣.malaya ama mboko.ustadh hapo hapana
2024-11-26 05:50:40
3
bitoz :
kwel ustadh mm nko Qatar lkn huku kuna mifano mizur sana naiona
2024-11-23 23:05:38
3
user6671062972735 :
nafurahia mafundisho yako sana napenda sana
2024-11-23 13:38:34
3
aunt k,k :
waa ndugu zakea,,,na hachoki kwenda kwa wanganga,,na mamakea mzazii hili jambo watu jibu vipi kuusu uyo mwanamkea na mumea ni wasafari,,
2024-11-21 11:43:46
3
Mohamed Hassan :
Subhana wallah
2024-12-08 18:22:53
2
To see more videos from user @izudin.alwy.moham, please go to the Tikwm
homepage.