@levissonemfikwaonlinetv1: #MosesMagembe #tiktokkenya

levissonemfikwaonlinetv1
levissonemfikwaonlinetv1
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 November 2024 05:59:37 GMT
495899
15787
717
1413

Music

Download

Comments

gthemadness
Gustavo :
Mwamposa ndie mtu mwenye watu wengi tanzania sasa wachungaji wakiona hvo wanaumia
2024-12-25 12:40:33
40
evodiusedward6
evodiusedward6 :
Makanisa mengi ya Kikristo tunashiriki meza ya Bwana/Sakrament ya chakula cha Bwana, sidhani kama kuna utofauti na wanaokula keki ya upako.Ni imani tu
2024-11-22 17:30:07
10
anicetmussa
Anicet Mussa :
Wangap wanamuelewa??
2024-11-24 20:14:12
310
tonii.panga
Tonii Panga :
anamsemea mwamposa ila kila mtume ana utumishi wake but watumishi msisemeane vibaya kila mtu ana namna yake ya uponyaji but mm iman yangu ipo kweny madhabahu ya arise and shine
2024-11-24 08:58:53
24
user6814767260148
Mark :
Kwisha kabisaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 congratulations your talking truth... tuseme hapana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-24 06:09:01
9
jamesennanuel
Festo James :
Umesha sikia wapi Mwamposa anamsema Mtu uoyote
2024-11-25 20:34:16
10
gracejoseph1994
grace joseph :
huyu mzee Hanaga kona kona injili yake imenyooka mno Mungu ambariki sana....
2024-11-27 11:11:26
13
franksembuch
FRANK SOLO_🇹🇿 :
hujui kitu mzee ,,vip kuhusu mwili wa kristo tunaoshiriki?umeshushwa toka mbinguni au ni man made?
2024-11-22 17:23:13
7
mumanibabalao
@mumani baba lao :
This pastor preaches the truth.but many will revoke and hate him but he will endures till end.
2024-12-27 16:46:43
6
neemamosis
Neema Mosis :
tutaendelea kula kek ya upak na kesh tunakul ya ofa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😆😆
2024-11-25 10:56:37
6
alphaamponz
alpha / the plumber👷👷 :
Huyu mzeee akienda saloon atalipa jero ,sababu nywele zmeisha sasa😂😂😂😂
2024-11-23 20:50:30
5
barakakings
BarakaKINGS👑🇹🇿🇿🇲Ministry :
Hii ni VITA.MIMI SIO MPENTEKOSTE ILA NAMUELEWA SANA HUYU MCHUNGAJI.
2024-12-26 13:28:48
5
kingdommutalemwa
kingdom_Mutalemwa🇹🇿🇷🇴🇵🇱 :
a big say pastor, neno "NGUVU za MUNGU haziingilii mdomoni"
2024-11-25 10:05:14
16
ibrahimudavid
ibrahimudavid :
naomba kabisa la huyu mzee lilipo nikasali japo mm ni muislam
2024-11-27 05:48:23
7
mathayo745
mathayo :
kweli babaa wanaokula ni vipofu wa kiroho mungu atusaidie sana tulielewe hili ameen
2024-11-29 11:28:14
19
josephmitango
Jozee47 🏇 :
KwishA hyu ni mtumishi wa Mungu sio mwamposA
2024-11-24 05:42:58
11
devsdembingo
Devs de' mbingo :
Hii ndo injili ya ukweli sema Halleluyah
2024-11-26 14:17:18
7
jamesennanuel
Festo James :
Kuna mda Umri unavo zidi kwenda nazo akili znapungua
2024-11-25 20:33:18
7
stevenkashi_5
Steven Kashi :
Na Saivi mahubili kwenye maknisa hakuna, Michango na Sadaka ndo wa viongozi wengi wameweka kama kipaumbele, Lakini kutufundisha neno la mungu Hakuna.
2024-11-25 18:25:06
7
hurter793
redsun :
unaongea ukweli wapumbavu acha wabishe hata mung alisema watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa
2025-01-20 11:33:13
1
stevenkashi_5
Steven Kashi :
Tuachane kukulupuka hizi Dini tumeletewa Saivi makisani kumekuwa nisehemu ya kufanya Tuendelee kuwa masikini kwasababu, Kama manabii wetu wameagizwa waende wakaponye watu Hospital huko na upako wao.
2024-11-25 18:23:05
4
davidriso387
warisso mseti :
hatujui ukweli bado tupo njia panda sehemu mbaya yenye kufanyiwa maovu 😭😭😭mungu tusaidie
2024-11-24 05:53:10
4
berthar857
berthar :
huyo ambaye hamweliwangi huyu mzee mtumishi wabwana huyo nayeye yupo kuzimu ila hajijui kama yupo
2024-11-27 16:36:21
4
braytonyjoseph0
UKIJA NA ZARAU NITAKUTUNZIA😎 :
kwanza nijue kunatofauti gan Kati ya maji ya Baraka yatokayo Roman namaji ya Upako na yesu aliombea mkate up ukaliwa na Samaki😏💫
2024-11-23 20:40:24
1
To see more videos from user @levissonemfikwaonlinetv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About