@mc_danny_fm: NEEMA HAKUWA NA MUME WALA MTOTO.@DM STUDIO TZ

MC DANNY FM
MC DANNY FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 November 2024 11:03:31 GMT
2676988
73722
3232
1176

Music

Download

Comments

officialmanka4
Officialmanka4 :
nimesoma vby msalaba au 1988 au jmn zaeni mapema muache alama
2024-11-21 13:43:39
80
zulhati.likando
Zulhati Likando :
Anaesoma comment hii mungu ampe maisha marefu yenye kheri na baraka na awajalie mwisho mwema
2024-11-21 13:52:15
2050
mariambango
mariambango :
mimj wa 1989 Nina watoto wa 2 na first born yuko advance Neema why? jaman daaah pumzika kwa Aman
2024-11-21 16:39:19
16
kinglod38
🦋 KINGLOD2025 🦋 ❤️ ❤️ :
shida hiyo sasa ww wa 1988 hadi leo 2024 bila hata mtoto jaman
2024-11-21 15:00:45
11
ngalagaja62
SHUJAA NAHANDA WA BASHIMBI :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂,yani uyo alistahili Ku chomwa tu,bila kuzika,âme ihombesha serkali 👌🏼,na WADADA kwanini munaishi kurizisha mili yenu 😭😭😭tu munashindwa kuza,wekeni mukaaa humo kwenye jeneza
2024-11-23 06:34:07
1
user69780062765110
mageuzi issa :
mdogo wake neema kashapatikana
2024-11-21 13:19:31
36
kilicreatives
KiliBrands :
kafa kama kanumba..jamani zaeni hata katoto kamoja..anything can happen...unaeza gongwa hata na basket ukafa hapohapo..
2024-11-21 16:10:23
3
kolonel_sanpaul
thedonfadher :
HIZI NI AKILI MGANDO KUOLEWA SIO BAHATI NI UTAYARI,HALAFU SIO KILA BINADAMU ANATAKIWA KUZAA AU KUZALISHA...#REST EASY HUSTLE
2024-11-21 11:33:54
237
teddymwanamkejasiri
teddymwanamkejasiri :
Ni heri ulale peke yako,kuliko kufa ukaacha watoto wanateseka,USIZAE KWA KUHOFIA UTAKUFA BILA MTOTO,
2024-11-21 19:04:34
100
use0689957419
erick john butto :
jamani dada zangu zaaeni hata mtoto mmoja maana ukiwa huna mtoto ukifa siku 3 ukisha fukiwa sitori yako inakuwa imeisha na tayali watu wanakusahau
2024-11-21 19:58:59
18
damiantalamba
Dereva Mtoto Tz :
alijiona pisi Kali atolewa mda wowote atakao taka hakujua mawazo ya mungu ona Sasa anapotea kama upepo ata Agizo la mungu hajatimiza jamn zaen watoto angalau ata Hilo tutumize ahadi za mungu ata moja
2024-11-22 10:12:17
18
ruth.lissu
Ruth Lissu :
ameacha nini sasa begi la nguo
2024-11-21 12:57:56
7
machame6
💥💥Hope lee🤍🧚‍♀️💃🍁🌼💦🗯 :
jaman mbona 88 au ni kutokuona vizuri jaman kama ni wa 88 jsma alikosez sana kutokuzaa jzman neema
2024-11-21 15:23:05
6
mercy51392
mercy :
1988 na hana mtoto alikuwa anasubiria amee pembe ndio azae
2024-11-22 14:00:18
16
babake.giburrily
Babake Giburrily :
Ameenda na mayai yake atapikia chips
2024-11-22 07:54:19
1
loveness2490
🦋Butterfly girl🦋❤️ :
jmn vp kuhusu mdogo wake kashapatikana au bado
2024-11-21 13:38:21
16
barbie_belle29
barbie_belle🥰 :
Yan wadada walivokua hawana akili kilichowasikitisha n neema kufa bila mtoto wanawake wanaakili fupi jmn Kila mtu na malengo yake sio lazima tufanane waliozaa wamezaa ambao hawakusaa fresh tu
2024-11-21 19:45:14
56
pendomariki348
pendomariki348 :
huyu dada hakutaka kuolewa alibeba majukumu ya familia kama baba Mungu ampe pumziko la milele
2024-11-21 19:42:45
271
user97093901420392
witness ibanza :
jaman zaeni mapema wapendwa Ata uache mtoto🥺
2024-11-21 13:31:12
12
gailanga1
H Boy. :
Nenden mkazaane mkalijaze taifa sherehe kuu za binadamu ni 3 kuzaliwa,ndoa,kifo. Marehemu ameacha alama mbaya Angezaa mtoto hata mmoja ila km alikua na matatizo ya kisfya tusilaumu apumzike kwa amani
2024-11-22 02:54:32
4
ssnnnnnn338
susannjuki708 :
labda amefanya abortion kaa mara tano.
2024-11-22 15:25:04
3
user56711869862911
user56711869862911 :
Mungu wangu bado zamu yangu duh kumbe na yeye hakuwa na mtoto kama mm dah Mungu amrehemu
2024-11-21 18:49:04
6
alexleviekisa
Alex Levi Ekisa :
Those lamenting, does having a kid or getting married prevent death. People choose to live a life that makes them happy not to please the public. Rest in Peace
2024-11-22 06:01:43
190
looker517
black mamba :
yani marehemu, alizaliwa, akazurura, akafa😳,,,, ukipata nafasi zaeni jamani😳
2024-11-22 12:04:29
8
itesh_
Itesh :
kwani kuolewa ni bahati au ni uamuzi
2024-11-23 05:57:57
34
To see more videos from user @mc_danny_fm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About