@sekundezaelimu: MAMBO MANNE YA KUKUPA MAFANIKIO Ewe Kijana Wangu Umekuwa Ukihangaika Huku na Kule Katika Kutafuta Mafanikio Lakini Jitihada zako na Kubwa na Mafanikio yako Hayaonekani Chukua Siri hii Zingatia Mambo haya Manne Siku zote hata baada ya Kufanikiwa 1.Kuwa Mkweli katika mazungumzo yako na watu Unaoshabihiana Aidha Katika Biashara au popote pale Uwapo 2.Kuwa Mzuri wa Kutunza Amana za watu pale Unapoaminiwa 3.Kuwa na Tabia Njema Ujue Kuishi na watu Vizuri 4.Kisha Kila Unapotafuta Rizki Hakikisha Unaipata Rizki ya Halaali ndiyo Unaiingiza katika Mdomo wako. @Sheikh Jamaludin Osman Kutoka Nairobi Kenya