Afu ukitoa hela kidogo 😂lazima ujitetee kwa kusema kazi ya hiyo hela😂😂 “ya nauli” 😂 “vocha”
2024-11-23 20:50:15
77
EDOUARD🇹🇿 :
ningekuwa na elf nne, ningekuja kutoka buku bro
2024-11-23 17:13:08
37
joph255 :
Hivi hii cheza pesa ni kweli?
Kwa sababu Mimi mpaka Leo ni zaidi ya laki nne sijapata hata mia tangu mkiwa tbc fm mpaka Leo.Pia hata tbc taifa nimecheza pia lakini hata thumuni sijapata.
2024-11-27 19:19:39
5
MK :
Wakala wanaboa badala aite jina anataja kiasi cha pesa😭