kama unaamn angekuwa mwanamke wa bongo angeomba na yakutolea ngonga like apa😁😁
2024-11-22 21:41:30
315
Antonio 🇬🇧 :
Wake wema hawapatikani kwenye hili bara la weusi. Twaoa walio na hulka ya fisi watutafune na kutufilisi.😳
2024-11-23 11:24:09
3
World View :
bongo unataftiwa sumu tu
2024-11-24 04:29:28
0
user6061871758358 :
tatizo wanaume wa bongo ukimpa tu umejitafutia balaa usipoletewa mke mwingine bas utatafuta kuachwa akatafutwe mke mwingine😁😁
2024-11-23 15:33:49
0
Atwemela :
sasa njoo kwa hizi kenge hapa Bongo 😏😏
2024-11-23 16:00:09
0
john magari kahama :
Uyu amerenga zaidi Urithi 😂
2024-11-23 19:46:56
1
FFT :
Msijichanganye kunamuda tunahitaji upendo tu kwayule tunaempenda na kunamda tunataka pesa tu kwayule tusiompenda😂😂😂😂😂😅
2024-11-23 12:47:38
5
Keza De Collection🛍✅️ :
UKIONA MWANAMKE AMEFANYA IVO UJUE MWANAMUME WAKE AMENYOOKA SIYO HAWA VYURA WETU WA TANZANIA 😅😅😅UKIMPA KWA AJILI YA MTAJI ANAMALIZIA BAR,MICHEPUKO INAKULA JASHO LAKO WW MWANAMKE😂😂😂😂😂
2024-11-23 11:10:42
11
Julaybibi Babah :
Kwa hapa Bongo Atahitaji na Zote na ROHO yako Atahitaji pia
2024-11-24 15:17:01
1
Mackie Salum :
She’s playing smart! Ni mjanja na anajua anachokifanya.
2024-11-24 19:15:49
1
Isack Sinkala :
aa wapi tz mikoa yoote hakuna.
2024-11-24 08:21:42
1
officialevalina :
tumuongelee uyo mwanaume kwanza hapa bongo yupo mkoa gan?
2024-11-24 15:10:15
1
Chricent Richard :
Huku ni tamaa tu, kwenye wanawake 1000 ni mmoja ataweza kufanya ivo
2024-11-23 20:24:48
1
prince's~nirel :
wapo kwa sababu mwanaumme kaonesha kumjali kwahiyo wanawake wanakawaida ya kulipa m
wema kwahiyo so ajabu
2024-11-23 11:42:32
3
Onesix :
Iwezekane wap wakat huo upendo wa dhat wenyew haupo
2024-11-23 21:31:39
2
king ev :
nachelea kusema wapo, bali nina uhakika yupo
2024-11-25 06:14:25
1
man don :
uyo wakwangu kabixa ila ndo hivoo tu bado ajazaliwa 😏
2024-11-23 16:20:25
1
World View :
pia tukumbuke wanaume tunatangulia kufa mke anangalia mbali jmaaa ataziacha Tu atakula ipasavyo 😂😂😂😂
2024-11-24 04:30:49
6
Magreth Chaka :
anajua tu bado ni zake pamoja na hayo
2024-11-23 14:01:46
1
rajab champion TZ🇹🇿 :
nimpate mwanamke kama uyu jmn
2024-11-23 21:25:49
1
Godwin J :
Mama mjanja huyu anajua mzee atamuachia mali zotee soon😂😂. Aah natania jamani. Huyu mwanamke amegundua siri ya maisha ni kuridhika🥰
2024-11-24 13:40:56
1
jumamgwan :
na Mueshimu Mwanamke Anaekupokea Na Utuuzima Maana Ameacha Ujana Na Anaitaji Maisha Na Muoongo mzuli
2024-11-25 08:47:48
1
Young father :
wasingekataa, wangepokea na baada ya saa 1 anakuomba pesa ya kununuwa chunvi 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-11-24 17:14:54
1
Thane :
shinda Yako ni kulinganisha mwenye njaa na aliye Shiba hata maamuzi Yao ni mbingu na aridhi
2024-11-23 10:28:12
0
Christine :
Njoo Kenya bado atakuambia tuma na ya kutoa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-23 07:49:25
1
To see more videos from user @errymars_, please go to the Tikwm
homepage.