@mussalife: "Mzigo umetua salama! Hakuna safari ngumu sana au changamoto kubwa kwetu. Kutoa container bandarini na kuhakikisha mzigo unafika kwa mteja kwa wakati ni kazi tunayoifanya kwa weledi kila siku. 🌍🚢 +255658777775 #MvambasLogistics #ClearingAndForwarding #TransportExperts"
sorry nahitaji mlango wa chest freezer kubwa ni wamkunjo ni kioo unafunguka kwa kuslaid left and right naomba connection wasomacoment.NA MUNGU AWABARIKI
2024-11-23 15:07:14
0
azure :
namuomba mungu siku moja anwezeshe nifunge mzigo kotena kamahilo kutoka India mpaka Tanzania mzigo wang mwenyewe nitakuwa nimepiga hatua sana
2024-11-23 21:20:09
0
To see more videos from user @mussalife, please go to the Tikwm
homepage.