@zanpresidentupdates: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni. Pamoja na Bi Hawah Ibrahim Bae kuwa Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Hafla hiyo ya Uapisho Imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar. Hafla hiyo imehudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla , Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zena Ahmed Said ,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mohd Said Dimwa, Viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa Dini na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama. #tiktoktanzania🇹🇿 #zanzibar #fypシ゚viral #fyp
Zan President Updates
Region: TZ
Saturday 23 November 2024 13:39:20 GMT
Music
Download
Comments
Denis Tbaijuka :
hongera mheshimiwa Rais wa Zanzibar
2024-11-24 18:16:21
2
user7833476111700 :
ccm oy eee😘
2024-11-25 06:31:22
1
Samweli Sheppa :
Hongera sana sana kwa kuteuliwa MUNGU akuongoze ☑️☑️
2024-11-23 20:29:20
1
user4881771994308 :
Kamanda uyo
2025-01-06 10:18:09
0
manyotam2mbady.1 :
uyo mwamba ukiingia kweny kumi nanane zake umeumia😂😂😂
2024-12-23 13:43:46
0
MWINYI :
Hao ndo viaongozi wanaotakiwa kwenye serikali ya znz mbumbumbi
2024-12-22 08:12:44
0
imu :
baada ya kuua mkawabadilisha
2024-11-26 20:34:50
0
Huzairy Muhammed :
Jiangalieni na Viapo mnavyo apa mtu unaapa Then unaenda kinyume usipokuwa makini ukirud kwa Mungu utachomwa Moto mpaka wa Kope😂
2024-11-25 20:36:15
0
maiko kapulwa :
eee siokwaugovi huumchezo hautakihasira hahahahaaaaaa hongereni mharibi a
2024-11-25 00:25:40
0
Rii :
amiina Cyo wote mnaopendelea mafanikio y wezenu
2024-11-24 17:28:47
0
Rii :
utachaguliwa ww ukaeke sawa nyama weeee😉
2024-11-24 17:28:05
0
Zahoro Kidongo :
muooogo Sasa anawapa watu matesotu
2024-11-24 13:06:11
0
fvvvvv :
hamna kitu hapo... yamemshinda ya Kati akayavuruge mjini sasa
2024-11-24 12:53:46
0
hafidhawesu :
huuy hanamaan kazi kunyanyasa raiya ndokazi yake
2024-11-24 12:29:00
0
To see more videos from user @zanpresidentupdates, please go to the Tikwm
homepage.