@hemedjumaa: #sheikhmselembinaly

Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 November 2024 08:13:18 GMT
106830
4641
122
578

Music

Download

Comments

said.juma68
Truth is bitter :
Kwa kifupi Omar bin khatwab alienda kinyume na amri ya Allah pamoja na mafundisho ya Mtume,khalifa stahiki hawezi kwenda kinyume na sheria ya Allah hata iweje,Je angeweza kupinga amri watu kwenda hajj
2024-11-25 03:15:04
2
tawfiqfurniture001
Tawfiq Furniture Mombasa :
kubali ukatae Dini ilichakatwa😢
2025-02-14 03:46:07
0
yeye_eh
yeye_eh :
mtume s.a.w yeye nae ilikuwa vipi? alihesabu kuwa ni moja au ndio tatu?
2024-11-24 11:36:55
0
elabdoul7
EL AbdouL :
maashallah 🥰
2024-11-26 08:34:28
0
muddykijojikukukienyeji
𝐦𝐮𝐝𝐝𝐲_𝐤𝐢𝐣𝐨𝐣𝐢 :
mashalah
2024-12-11 13:47:14
0
dulla_samu
Dullah Sam :
dah mm
2024-11-25 04:06:59
0
jonswimming7
jonswimming :
🥰🥰🥰
2024-11-25 14:52:30
0
shanoessien
Shano 🇲🇿 🇹🇿 :
😳😳😳
2024-11-25 04:50:24
0
membe576
MangunguFaza :
😂
2024-11-25 04:21:19
0
user5558546930727
user29228139100 :
🥰🥰🥰
2024-11-27 04:12:44
0
user5624100452297
user5624100452297 :
maelezo ya maalim yameeleweka saana japo suala hili lina khitilafu,na mijahil ipo
2024-11-24 15:07:33
4
dumila49
dumila :
sasa ninani alompa uwezo huo wakubadilisha
2024-11-26 13:17:04
1
bbydimple2
baby dimple :
naomba muendelezo wa hii darsa
2024-11-24 10:07:05
1
hemedimmasa
H.Y MMASA :
@
2024-12-17 08:54:54
1
user8266328079843
Tafarri254 :
jamani hivi mbona Umar kaweka kitu hakikuwa???
2024-11-24 16:58:23
1
albahrryy0
0658145070 :
subhana llah mungu atupe subira
2024-12-12 16:39:41
0
nomarawa
Malikizo :
Bac kwa maana hio hata alokubali kumuoa bint uliemzaa Nnje ya ndoa nae alikua sahihi, ijapokua haifatwi kutokana na Uzito wake .
2024-11-27 19:18:50
0
njomemaxmizer
max :
ikumbukwe wanazuoni wamekhitalifiana katika hili ikumbukwe talaqa haina utani.
2024-11-27 22:34:32
0
yuu_de_lamor
Yuu de lamor :
kauli bin khwattwaab ipo sahihi lakini tulio wengi tunafuata bora na bora ni ile ya kipenz cha Allah kuwa moja inahesabika moja
2024-11-28 23:26:25
0
yuu_de_lamor
Yuu de lamor :
IPO HIVI MAKHALIFA KUNA MLANGO WAKO KUWA RASOOL LLAH AMETUACHIA KITABU NA SUNNAH NA PIA SUNNAH ZA MAKHALIFA WAKE WAONGOFU
2024-11-28 23:28:25
0
mussa.ay0
Mussa Ay :
🥰
2024-11-29 12:52:32
0
nysherm.aboud13
Mahsen Hassan :
🥰
2024-12-18 10:23:46
0
mbumijr
Rashied Mbumi Jr :
we huna akili unajua kua ommar alifanya nini aliongeza nne ktk dini unaelewa asli ya taraweh kuswaliwa jamaa unaelewa asli ya Qur an rud kusoma Histry of Islam
2024-12-23 22:03:31
0
haruna18241
haruna :
🥰🥰🥰
2025-01-12 05:22:57
0
asylabeauty1
asylbeauty1 :
A.alaykm... swali langu ni....mumenakimuacha mkewe talaka ya 3 akiwa ni mja mzito jee atakapojifungua mtoto wa kiume talaka inakuw haijasihi..... nauliza ety kuna fatwa hii
2025-01-13 17:53:49
0
bongo9601
bongo :
yaa Adhwa bless him amen
2024-11-25 21:14:32
0
user9025004625461
user9025004625461 :
vipi shekhe mtu anweza akatoa talaka tatu kw mara moja
2024-11-24 08:29:53
0
saidkhalifazola88
zanzibar decorations point :
kwa ufaham wangu sayyidna Omar katoa hukumu kwa kipindi chake na kwasababu za mazingira ya muda ule. tusijaribu kumhukumu km kakosea tutakua sisi ndo tunakosea
2024-11-25 08:14:14
0
user7213771723617
tafuta ahamadi :
Allahamdulilah,kwa kukumbushana
2024-11-25 06:43:02
0
user1314096594095
Hussein bakar :
hp munatuchangany talaka kapanga mungu au ommary
2024-11-24 19:26:45
0
pboy05
p boy :
🥰🥰🥰
2024-11-24 18:16:00
0
answarali2022
As'habul jannat00 :
Allah akuhifadh sheikh mselem
2024-11-24 11:51:57
0
abdukassim95
Abdu Kassim :
A alaykum Shekhe mtu ukimuandikia tu kwenye karatasi kua nimekuacha bila ya kutaja idadi ya talaka je hapa inakua talaka imeswihi na kama imeswih inakua zimetoka talaka ngap kisheria
2024-11-24 10:48:20
0
msellemothman
0673421339 :
mashallah sheikh mungu akueke akupe nguv uzidi kutupa darsa
2024-11-24 10:46:16
0
ukhtyzesh
Ukhtyzesh :
Shukraan
2024-11-24 08:55:49
0
user12924088607070
magoma :
Mashaa Allah
2024-11-24 08:31:39
0
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About