karibu nifall in love tena nikajishikiria na ukuta😂😂
2024-11-26 18:15:38
7
Estralita :
hakuna mdada wetu mkenya anapenda mbosso ampe. heartbreak atleast atoe nyimbo za heartbreak jamani hii ya mapenzi imezidi na hatuna wapenzi wanatupenda hivi
2024-12-28 12:17:50
1
Rehema :
Mbosso ananifanya nipende tena😅😅
2024-11-25 21:11:04
12
kenedy :
anauweza sana hyu jama
2024-11-25 20:39:06
3
emanuelmwakakango :
🤣🤣🤣umejitahid mboso mshilikishe harmonize natamani sana ngoma mpya