@mstari_tv: Makosa wakati wa kuomba dua baada ya swala || #Sheikh Said Bafanaa #islamic_video #islamicquotes #allahuakbar #mawaidha #duet #dua #zdtz_media

𝗠𝗦𝗧𝗔𝗥𝗜 ṮṼ🕊
𝗠𝗦𝗧𝗔𝗥𝗜 ṮṼ🕊
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 November 2024 17:49:05 GMT
873835
46868
1275
5532

Music

Download

Comments

nullaiya
NUU :
ambao hatuku soma tuna kazi wallah kila shekhe anamaalisho yake jaman
2024-11-25 04:14:53
154
salumkibembege7
makunjaaaa🏃🏻‍♀️🪡🫀shuyuqii :
kama kunyanyua mikono nitapata dhambi au ndio mungu achukie kisa nimenyanyua tu mikono acha nipate 🤲🏻🤲🏻🤲🏻mashekh mnatuvuruga....
2024-11-25 06:35:18
92
aisha.swalehe1
Aisha Swalehe :
jaman sheikh Yuko sahih hamjaelew swala inayotakiw kuinua mikono ni ya Sunnah tafuten vitabu msome achen kuona sheikh anakosea Kam mtu hujui bora uulize vizur ufahamishwe na ufundishwe msilalame 🥰
2024-11-25 11:56:16
18
bwagara9999
@Bwag-gara :
sasa hivi kutatokea wengine watuambie Mtume (saw) alikua haswalu dhwahir alikua akiswali kimoyo moyo na wengine watuambie hufai kushika msahafu kusoma wafaa uweke kwenye kibao 😂😂😂
2024-11-25 03:46:13
19
abunasra385
Abu Nasra :
Kabla ya vita vya badr mtume s.a.w kainua mikono akiomba dua.Je vita vya Jihadi sio ibada ya faradhi???
2024-11-25 11:40:50
15
osmanejehow
Osman Jehow :
listen to understand not to listen to respond sikizeni kwa makini vile sheikh anasema
2024-11-26 15:46:42
6
cwtynay
Miss Muu..🌹❤️ :
Mimi mnanichanganya haya bc mniambie kwenda Kwa sijda unaanza kutanguliza magoti au mikono
2024-11-25 16:41:00
9
user3568019116615
mohammedmaster :
lkn kuinua mikono ni kuongeza unyenyeku kwa mola wako na cijui kma tunapata dhambi kuinua mikono nyakati hiyo
2024-11-25 19:58:18
7
ishratsalum
dida :
hapo usipoteze nguvu zako bure mana tutainua mikono mpak mwisho wew yako igandishe chini
2024-11-25 19:05:06
7
gatanga.mc
mc GATANGA :
we sheikh kaoge ....wewe ndio haujui sunna kunduch
2024-11-26 06:50:36
8
ustadhabuu22
USTADH ABUU 🕍 :
watu mbona na matusi lkn kwa comennt na sheikh anasema kweli kabla kuanza kutusi ustadh jiulize umesoma nini wewe unajua nini ulimu yako ilifika wp watu wasome madarasa fadhlan 🥰
2024-11-25 16:31:00
9
allybyarushengo
specialist doctor :
Je kuinua mikono ni haramu? kama ni haramu wapu mtume kakataza?Wapi Allah kakataza.
2024-11-25 05:07:53
11
sudainah6
Sudainah 🥰 :
huyu ostadh nampenda sana jaman🥰🥰🥰🥰
2024-11-25 05:11:12
14
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Kwani kuna ubaya gani sheikh??? mtume alipendekeza mtu akiwa anasoma Dua yeyote awe anainua mikono, kwa hivyo kuweka mikono chini ndio sunna...??. na kuinua ni dhambi???
2024-11-25 03:45:41
7
officialkakaedi
Officialkakaedi :
aisee nachoka mimi wallah
2024-11-25 16:48:57
5
ummuhkhidhri
ummuh khidhri :
mm sio kwa ubaya lkni hawa masheikh wetu mbna hawaongei kitu kimoja kila mtu uwa anasema lake shida ikakuwa wapi
2024-11-25 05:36:25
6
ummu.muhammad.al.amin786
FADYA MANSOOR 786 :
kwani kuna ubaya tukiinua mikono tukapiga goti na tukapindua na shingo zetu kwa unyenyekevu baada ya swala kuna tatizo?mambo mengine hata haya make sense mnayotukataza.
2024-11-25 16:06:00
10
mrkan_elbardizba
Mr kan Elbardizba :
nitaunua mikono na sitaacha, unaombaje pesa mikono ipo mifukon. kwa vile hujakataza hakuna ubaya ukiwek mikono hat kam mtume hakufanya
2024-11-26 17:31:57
5
ahlamfarah46
ahlam💎❤️ :
Wenye elimu ni kama warithi wa Mitume. Mtume ﷺ amesema: “Hakika wanavyuoni ni warithi wa Mitume.” (Abū Dāwūd 3641, Tirmidhī 2682) • Kuwatukana au kuwasemea vibaya ni sawa na kudharau urithi wa Mitume.
2025-08-27 10:33:13
5
jafari.paje
Jafari Paje :
Do not complicate things
2024-11-25 07:26:56
8
zulphanone
mamake jamal :
sisi ambao hatukusoma mntuvuruga mm bora ALLAH aitikie dua zangu tu bas
2026-04-18 14:47:36
1
user5780011819524
hadijah :
Ameen
2025-11-11 17:46:44
2
mamy_lady005
♥️AISHA♥️ :
mm ni ta nyanyuwa mikono hadi kifo changu🤲🤲🤲🤲🤲
2025-09-28 06:38:59
3
yusufshoo
yusuf :
kma.kuna khilaf bx hkuna makosa mtu kuinua mkono shekh
2024-11-24 18:48:51
4
jifunzekusamhe
BINTI M MOHAMDI :
wakti wa mtume alikua akiomba dua miko yake akinyenyua juu mpka sehemu ya vikwapa vyake vika oneka leo vip useme haifai kunyenyua mikono jamni nimtihani
2024-11-25 05:55:32
3
To see more videos from user @mstari_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

𝒀𝒐𝒖 𝒎𝒆𝒂𝒏
𝒀𝒐𝒖 𝒎𝒆𝒂𝒏 "𝒂𝒖𝒕𝒉𝒐𝒓𝒊𝒕𝒂𝒕𝒊𝒗𝒆 𝒈𝒖𝒚 𝒐𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕" 𝒇𝒐𝒓 𝒏𝒈𝒂𝒕𝒂𝒔𝒊𝒏 _ 𝒃𝒂𝒅 𝒅𝒂𝒚 _ 𝒚𝒆𝒔? 😎* 𝑳𝒆𝒕 𝒊𝒕 𝒔𝒕𝒊𝒍𝒍 𝒍𝒐𝒐𝒌 𝒇𝒊𝒓𝒎 + 𝒄𝒐𝒏𝒇𝒊𝒅𝒆𝒏𝒕 𝒆𝒗𝒆𝒏 𝒕𝒉𝒐𝒖𝒈𝒉 𝒂𝒈𝒂𝒊𝒏 _ 𝒃𝒂𝒅 𝒎𝒐𝒐𝒅 _, 𝒕𝒉𝒆 𝒌𝒆𝒚: 𝒔𝒊𝒎𝒑𝒍𝒆, 𝒏𝒆𝒂𝒕, 𝒂𝒏𝒅 𝒏𝒆𝒖𝒕𝒓𝒂𝒍 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓. 𝑨𝒖𝒕𝒉𝒐𝒓𝒊𝒕𝒂𝒕𝒊𝒗𝒆 𝒐𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕 = 𝒎𝒂𝒌𝒆 𝒑𝒆𝒐𝒑𝒍𝒆 𝒂𝒖𝒕𝒐 𝒓𝒆𝒍𝒖𝒄𝒕𝒂𝒏𝒕. # # # * 3 𝑭𝒐𝒓𝒎𝒖𝒍𝒂 𝑶𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕 𝑩𝒐𝒚 𝑨𝒏𝒕𝒊 𝑩𝒂𝒅 𝑫𝒂𝒚 * * * 1. 𝑺𝒎𝒂𝒓𝒕 𝑪𝒂𝒔𝒖𝒂𝒍 𝑪𝑬𝑶 𝑴𝒐𝒅𝒆 * * 𝑴𝒂𝒌𝒆 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒆𝒈𝒆, 𝒘𝒐𝒓𝒌, 𝒐𝒓 𝒉𝒂𝒏𝒈 𝒐𝒖𝒕 𝒃𝒖𝒕 𝒔𝒕𝒊𝒍𝒍 𝒓𝒆𝒔𝒑𝒆𝒄𝒕𝒆𝒅 - * * 𝑻𝒐𝒑: * * 𝑷𝒍𝒂𝒊𝒏 𝒐𝒙𝒇𝒐𝒓𝒅 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒏𝒂𝒗𝒚, 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌, 𝒐𝒓 𝒘𝒉𝒊𝒕𝒆 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓. 𝑹𝒐𝒍𝒍 𝒖𝒑 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒍𝒆𝒆𝒗𝒆𝒔 𝒂 𝒍𝒊𝒕𝒕𝒍𝒆. - * * 𝑺𝒖𝒃𝒐𝒓𝒅𝒊𝒏𝒂𝒕𝒆: * * 𝑪𝒉𝒊𝒏𝒐 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 / 𝒂𝒏𝒌𝒍𝒆 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒌𝒉𝒂𝒌𝒊 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓, 𝒄𝒉𝒂𝒓𝒄𝒐𝒂𝒍, 𝒐𝒓 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌. 𝑵𝒐 𝒕𝒐𝒓𝒏. - * * 𝑺𝒉𝒐𝒆𝒔: * * 𝑳𝒐𝒂𝒇𝒆𝒓𝒔, 𝒄𝒉𝒆𝒍𝒔𝒆𝒂 𝒃𝒐𝒐𝒕𝒔, 𝒐𝒓 𝒄𝒍𝒆𝒂𝒏 𝒘𝒉𝒊𝒕𝒆 𝒔𝒏𝒆𝒂𝒌𝒆𝒓𝒔. - * * 𝑬𝒙𝒕𝒓𝒂: * * 𝑳𝒆𝒂𝒕𝒉𝒆𝒓 / 𝒔𝒕𝒆𝒆𝒍 𝒘𝒂𝒕𝒄𝒉 + 𝒔𝒖𝒏𝒈𝒍𝒂𝒔𝒔𝒆𝒔. * * * 𝑽𝒊𝒃𝒆𝒔: * * * 𝑪𝒂𝒍𝒎 𝒃𝒖𝒕 𝒅𝒐𝒎𝒊𝒏𝒂𝒏𝒕. 𝑩𝒂𝒅 𝒅𝒂𝒚 𝒊𝒎𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂𝒕𝒆𝒍𝒚 𝒔𝒕𝒆𝒑𝒑𝒆𝒅 𝒂𝒔𝒊𝒅𝒆. * * 2. 𝑴𝒊𝒏𝒊𝒎𝒂𝒍𝒊𝒔𝒕 𝑴𝒐𝒏𝒐𝒄𝒉𝒓𝒐𝒎𝒆 * * 𝑻𝒉𝒆 𝒆𝒂𝒔𝒊𝒆𝒔𝒕 𝒃𝒖𝒕 𝒕𝒉𝒆 𝒆𝒇𝒇𝒆𝒄𝒕 𝒊𝒔 𝒔𝒕𝒓𝒐𝒏𝒈 - * * 𝑻𝒐𝒑: * * 𝑩𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒄𝒓𝒆𝒘 𝒏𝒆𝒄𝒌 / 𝒉𝒆𝒏𝒍𝒆𝒚 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒇𝒊𝒕 𝒐𝒏 𝒃𝒐𝒅𝒚, 𝒅𝒐 𝒏𝒐𝒕 𝒐𝒗𝒆𝒓𝒔𝒊𝒛𝒆𝒅 - * * 𝑩𝒐𝒕𝒕𝒐𝒎: * * 𝑩𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒎𝒂𝒕𝒆𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒐𝒓 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒘𝒂𝒔𝒉 𝒔𝒍𝒊𝒎 𝒇𝒊𝒕 𝒋𝒆𝒂𝒏𝒔 - * * 𝑶𝒖𝒕𝒆𝒓: * * 𝑶𝒗𝒆𝒓𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒐𝒓 𝒄𝒉𝒐𝒓𝒆 𝒋𝒂𝒄𝒌𝒆𝒕 𝒎𝒂𝒕𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓 - * * 𝑺𝒉𝒐𝒆𝒔: * * 𝑩𝒐𝒐𝒕𝒔 𝒐𝒓 𝒇𝒖𝒍𝒍 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒔𝒏𝒆𝒂𝒌𝒆𝒓𝒔 * * * 𝑽𝒊𝒃𝒆𝒔: * * * 𝑴𝒚𝒔𝒕𝒆𝒓𝒊𝒐𝒖𝒔, 𝒇𝒐𝒄𝒖𝒔𝒆𝒅, 𝒏𝒐𝒕 𝒎𝒖𝒄𝒉 𝒅𝒓𝒂𝒎𝒂. * * 3. 𝑶𝒍𝒅 𝑴𝒐𝒏𝒆𝒚 𝑪𝒍𝒆𝒂𝒏 𝑳𝒐𝒐𝒌 * * 𝑬𝒙𝒑𝒆𝒏𝒔𝒊𝒗𝒆 𝒍𝒐𝒐𝒌 𝒘𝒊𝒕𝒉𝒐𝒖𝒕 𝒃𝒊𝒈 𝒍𝒐𝒈𝒐 - * * 𝑻𝒐𝒑𝒔: * * 𝑵𝒆𝒂𝒕 𝒑𝒐𝒍𝒐 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒐𝒓 𝒆𝒂𝒓𝒕𝒉 𝒕𝒐𝒏𝒆 𝒍𝒊𝒏𝒆𝒏 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕: 𝒐𝒍𝒊𝒗𝒆, 𝒄𝒓𝒆𝒂𝒎, 𝒎𝒐𝒄𝒄𝒂 - * * 𝑩𝒐𝒕𝒕𝒐𝒎: * * 𝑷𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒎𝒂𝒕𝒆𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒔𝒕𝒓𝒂𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒖𝒕 𝒃𝒆𝒊𝒈𝒆 📿🕌🦁 لاہور والا ہو ❤️ 📿 🦁 🕌 #berwibawadulubaddaykemudian #outfitideas #onemillionviews #style

About