@jojojuicepoint: Wapendwa wangu kutengeneza office hivi ni ghalama sana na wengine ndio wanaanza unapaswa kuanza unapoweza kadri muda unaenda ndio utaweza kuinvest zaid huwez kutengeneza hivi huna wateja wala hujuw utatudisha vp pesa ya natengenezo mie nawashauri wanaonifuatilia tangu 2020 mpka leo sikuanza hivi nilianza kwakutembeza mpka leo hii nipo hapa nawashukuru wateja wangu wakila sku hawajaacha nisupport @@Henrick Mruma 🙏🏿😍❤️
JOJO MIHOGO POINT
Region: TZ
Monday 25 November 2024 09:33:59 GMT
Music
Download
Comments
Kay :
Je kama nina hela ya kuanza hivi haiwezekani mpaka nitembeze kwanza?
2024-11-25 15:48:30
25
linah :
mmh mbona niyakawaida sana jamni duuuh acha kukatisha watu tamaaa
2024-11-26 03:38:45
4
love :
Q
2026-05-10 15:19:09
1
Cute tee 🫦🌚 :
Tell number
2024-11-25 20:17:02
2
Lilianh .🌸 :
Hvi dada et biashara ya juice inaitaji leseni ngapi kuanza biashara!
2026-06-10 19:52:21
3
asma juice 🧃🧃 :
mambo
2026-03-18 15:53:47
1
JOJO MIHOGO POINT :
“Gharama za kutengeneza ofisi ya juice zinategemea ukubwa wa eneo na aina ya vifaa unavyohitaji. Kwa kawaida, ni gharama za kawaida.
2024-11-25 18:26:41
6
Rose 🌹 :
Jojo eneokama hilo kinaweza kugalim kiasiga
2026-07-31 16:02:24
1
Minah costmetics & beuty🧴 :
Unapatikana sehem gan apo mwanza
2024-11-25 09:40:45
5
Rachel :
aah asantee dear kwa kutushauri
2024-11-27 06:33:20
2
Deus Gipson :
mwanamke anaepambana na anae waza kujipatia kipato chake nakusalimia shikamoo mungu akutangulie katk biashara yako
2025-02-01 18:24:29
12
ms.mariah✨💫 :
Umeweza dear 🥰🙌🙌 amini kwamba amna shotcut in this life
2024-11-25 14:29:08
16
kiddo ❤ :
sasa kama nina hela ya kuanza na ivi nmimi ntembez kwanza
2024-11-25 11:30:55
5
Sharif Abdallah :
shida ni location ..wateja wapo??
2025-01-03 09:01:56
2
ZACK :
y'a Allah donne le force est la détermination aux jeunesse africain 🥺
courage JOJO🔥🔥🔥🤟🤟🤟
2025-01-01 23:23:06
2
Appy🦋💫❤️ :
jamani pazuri mpaka Raha hongera mwaya
2024-11-27 01:30:48
3
MALU Délicieux 🥗🍻☕ :
tafadhali bibi nitumie picha, nimeipenda sana nipo Kinshasa tuangalie
2024-12-26 13:48:35
1
Miracle sunshine 🌞 💛 :
Umeupiga mwingi baby gal🥰
2024-11-25 11:02:31
2
Whitney_dessert :
🥰🥰🥰pazuri sanaa,
2024-11-25 17:09:14
2
dorrn fetty :
mm naomba kazii dada
2025-02-09 10:41:44
0
kendric & puttin❤️❤️🦋🦋🥀 :
hongera dada nataman nifike hapa jmn ila naiman ipo siku maana kutmbea nishachoka🙏🙏
2024-11-26 18:27:11
3
555🥰🥰 :
hongeraaa
2024-11-25 17:21:46
2
Rahma Shishi :
hongera sana kipenzi
2024-11-26 12:41:35
1
😊😊 :
Hongera
Mungu azidi kukutia nguvu na kukufunulia mema
2025-01-08 19:52:38
1
sheilah❤️ :
🥰🥰🥰hongera dear
2025-01-13 13:25:50
1
To see more videos from user @jojojuicepoint, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.