@kazitu87: @felixomondi

ISHMAEL87
ISHMAEL87
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 26 November 2024 11:22:46 GMT
25292
504
85
35

Music

Download

Comments

chainsmokers254
Bonny :
Unataka tuende mapema tushindwe fair ya kurudi🤣🤣🤣🤣sisi ni wajanja buana,
2024-11-27 12:52:57
7
jaredodhiambo153
Jared Odhiambo :
Roundi hii nilionea 18.Wacha hata nyumbani ikuje😂😂😂😂😂
2024-11-26 14:05:06
8
tony..mhumble
Smooth Operator :
Bado kuna watu hupanda magari hapo kwa wakora?? i used to but tabia ya wajaluo wenzangu hapo wacha tu,...sai Ena coach mambo yote
2024-11-30 15:45:12
0
sibuor435
sibuor435 :
I've been to Dar , I don't know about Kampala but ours must be the dirtiest chaotic long distance bus terminal in eastern Africa
2024-11-26 15:24:33
7
mazraui03
@erico03 :
raundi hii walijanjaruka wakaenda mapemaaa wakati tu shule zilifunga😂😂😂
2024-11-26 13:36:51
4
odogwu414
Odogwu :
Saa Nane mchana nani anaenda ushago western kwani ni kiambu ubatoka saa yoyote?
2024-11-28 09:32:02
1
ramm2073
RAMM ملك :
like video zangu friend
2024-11-27 14:00:14
1
user3774141255694
lin :
tunangoja wamalize kupalilia na kutop dress machamba.
2024-11-26 14:54:56
10
sethshemko
gushna :
washaenda
2024-12-09 07:33:13
0
tajirikevin
Kevin tajiri :
Christmas huanga November panya hii
2024-11-26 17:13:19
5
terolazima
TERO LAZIMA :
Watu wa nyumbani nao waje huku safari hii.
2024-11-26 17:49:11
3
dm25400
Don Corleone :
Tunapandia Railways Nowadays,kaeni na Airport yenu ya kwenda Siaya🤣🤣
2024-11-27 13:44:59
4
joedmorie
Joe :
masaa ya rush hour bado,kuanzia next week
2024-11-26 14:26:31
3
sepetojunta0
nice :
hehhe tunakuanga last minute travellers next month
2024-11-27 09:07:04
4
briansimiyu449
Brian Simiyu449 :
uchumi mbaya
2024-11-26 16:30:21
2
user2762262812524
justus wandera :
hapa ni country bus, wizi tupu
2024-11-26 16:10:01
2
eraaa831
eraaaaa254 :
hapa ukiwa na 800unafika kisii😅😅😅
2024-11-27 16:19:10
1
lowlife0007777345
ghost sniper :
hizi basi ukitravel nazo uta regret vibaya.jasho za watu na kunguni zitakumaliza😂😂😂.
2024-11-26 19:12:00
2
kelvinpamba
KiGoGo ✅ :
wacha December ianze..mtatuchukia..
2024-11-26 19:06:25
3
edgarhndsm
EdgarhndsmWaNyahe :
nii doo
2024-11-26 17:29:39
2
1254gift
gifted hands :
tunakuja bado hatujafunga mzigo
2024-11-26 17:41:28
3
pure_truth2
pure_truth2 :
economy biting
2024-11-27 13:27:14
1
salehshabibjamal
salehshamal :
🤣🤣fare iko juu
2024-11-26 13:30:40
1
user2933150074905
joram Enos :
ni Mapema
2024-11-26 14:46:56
1
jamesmwangi394
James Mwangi :
wanagoja 24th😂
2024-11-27 06:22:07
2
To see more videos from user @kazitu87, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About