@kingabuza1: #kingabuza1

KING👑ABUZA 1
KING👑ABUZA 1
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 26 November 2024 19:10:58 GMT
557598
17815
1180
506

Music

Download

Comments

awissasenior
Awissasenior :
You can't just quote an excerpt without showing the context, content za kijinga hizo, soma ata wewe uelewe, atoke akalalwe apate za matibabu?
2024-11-27 17:21:25
2
abubakarwyclif
(GADAFI001b, MSOMALI)🇸🇴 :
sure bro🤸🤸🤸🤸🤸💫💫🤸
2024-11-26 19:32:33
3
fswaaleh
Fswaaleh :
haya if we get our own money dnt ask where did tht money come from mana kujibu ndio itakuwa shida
2024-11-27 07:44:17
3
user2952639376759simba
mr Azhar :
ok😊
2024-11-29 16:22:53
1
sophie_minaj7
Sophyminaj :
I have soooo many questions
2024-11-27 14:34:57
1
001deltah
sstrawberry :
please listen till the end...anakua sarcastic
2024-11-27 03:18:52
1
jijazorganics
Jijaz Organics :
Not right
2024-11-27 06:07:05
1
tucyok
Ahmedweli :
سيدي واستاذي عبد المطلب
2025-01-04 08:25:03
0
userfsherriff
userfsherriff🇶🇦🇰🇪 :
sasa wats the meaning of having a hubby 🤔 wat abt the woman who is jobless surely then the lady will seek caring elsewhere
2024-11-28 18:34:28
0
malengamzito
malenga mzito :
I can challenge him. Kwaheri
2024-12-03 19:07:18
0
zakiyaabbas46
proud Muslimah :
its men duty to take care of us kuna aya mengi kwa quran
2024-11-28 16:37:04
0
amref_05
Amref :
Which country is this ?
2024-11-28 06:42:02
0
saida.mzee
saida mzee :
ur ok
2024-11-29 09:50:07
0
naimai485
naimai :
i didnt expect this from such a gentleman...eka full video plz so educative to you men...full video plz
2024-11-27 13:51:23
0
user2952639376759simba
mr Azhar :
ok
2024-11-29 16:23:04
1
romia750
user6085008454699 :
sasa kama we hauta mpea nani ata mpea
2024-11-26 19:23:43
13
romia750
user6085008454699 :
na huyu mtu aweke video full tuskie
2024-11-27 04:37:08
44
user9570727959413
user9570727959413 :
maana hata wanaume hawana ruhsa ya kupikiwa, kufuliwa, na mambo mengine ispokua ya kitandani! hata kunyonyeshewa mtoto wako umlipe mwanamke je utaweza? sasa dini ni hekma ,
2024-11-27 04:45:36
63
tymeiz001
Black Stallion :
kweli ila sio jukumu la mke... kupika, kufua, kunyonyesha, usafi... tukienda ki hivyo mutaweza?
2024-11-26 23:29:42
52
swalehabdillah
Swaleh Abdillah :
haya msikize sheikhe, usimpe mke senti za matibabu umdhalilishe na maradhi ,ilimu nyingi hufyetuwa na akili.
2024-11-27 03:32:04
45
nasramohamed673
nasra mohamed :
kam ni hivy bas na pia mwanmke siy lazma kumpika mwanaume na wala kumfulia mwanaume kaz zot za nyumbn nikifany nahitaj kulipwa 🙌🙌
2024-11-27 06:45:20
5
fadhy_bedsheet
FADHY_Fadhy :
Acha ujinga hilo ni darsa alikuwa anatoa ungekuwa muungwana ungeleta darsa zima ulichofanya kuleta kipande hiyo ni fitna
2024-11-27 04:28:53
16
nabusally
ZAINAB SALIM :
si lazima endapo kila kazi ya nyumbani atamlipa mkewe tofauti na tendo la ndoa kila anachokifanya mke anatakiwa kulipwa hivyo basi atakua na pesa ya kujilipia matibabu
2024-11-27 23:01:21
5
fadhilahfadhilaha6
mrs....felix🇬🇧❤ :
na mwanamke si wajibu wake kukufulia
2024-11-26 21:39:33
6
yusufnoor958
Bin aws :
Maliza bro hio clip usikate mana upande wao pia si lazima kutupikia wala kufua kazi yao ni moja tuu 😏
2024-11-26 20:13:00
26
To see more videos from user @kingabuza1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About